Ni kwanini makapenta (Mafundi Seremala) wengi wao ni matapeli?

Ni kwanini makapenta (Mafundi Seremala) wengi wao ni matapeli?

Habari za mchana na habari za jioni!

Kuna fundi nilimpa Hela anitengenezee kitanda cha mbao za kenfa nilizozipata kwa shida.

Yapata Sasa mwaka kitanda bado na Hela kala na mbao zangu Katengenezea kitanda kingine kauza [emoji35].

Nimeenda kumshitaki kajitetea atanitengenezea kitanda kingine, ila Katengeneza kitanda na mbao ambazo sio za kenfa.

Mi nimegoma kupokea hicho kitanda, tumeenda Tena mbele kwa mbele nikaambiwa nimpe gharama za mbao za kenfa na hela ya kitanda niliyompa anilipe.

Zile mbao za kenfa zilinigharimu 2.5ml kwasababu ya kibali chake kuwa ni cha shida yaani hawatoi kabisa.
Sasa huyu kapenta amegoma katakata na mtaani haonekani Tena.

Mimi ujumbe wangu ni huu jasho la mtu haliendi Bure Bure, utataga tu muda ukifika.

Tuweni makini na hawa matapeli jamani, mtu unachukua kazi nyingi kuzidi uwezo wako was kuzihudumia. [emoji2959]
Wana laana ya Kristo
 
Woodworking minus patience equals firewood.” “Woodworking matters. It's more than a pastime or hobby—being a woodworker means that you know the satisfaction and pride that comes from using your hands and mind to build beautiful, functional objects, and that you're as interested in the process as the outcome.
 
Mimi ni fundi lakini si wa aina hiyo mambo yako tofauti kidogo
Nina vifaa kadhaa vya watu nilivyowaelekeza namna ya matengenezo na bei zake lakini wamevitelekeza ofisini kwangu kuna ambacho kipo hapa tangu 2019 mpaka leo na baadhi ya vitu nimeuza spea kwenye kazi nyingine

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nililipa 1.2 milioni ma mkubwa wangu atengenezewe kabati zuri kubwa la ndani aweke nguo na vitu vyake vingine. Jamaa akala pesa na danadana zikaanza. Mpaka mama anafariki bado anakumbushia kabati lake dah! Fundi mwenyewe sasa ni mtu wa karibu sana na mshikaji kweli kweli. Bahati mbaya/nzuri naye hakuchukua raundi akakata moto kenge yule!

Sasa hivi nikihitaji furniture ni ready made nanunua na kubeba.

Mafundi seremala na mafundi nguo ni tatizo kwa kweli 🚮
 
Mkuu nisamehe tu,. Leo siangalii ulivyotapeliwa na fundi, najadili zaidi hiyo mbao 😄, milango yangu ni hiyo mbao, ni haramu ukikutwa nayo na wazee wa forest
Kibali chake wanatoa kwa cubic meter. Kipindi hicho ilikuwa 350k lakini, siunajua mkono mtupu haulambwi? Lazima ujiongeze mkuu. Ila hizo kweli ni za moto, ni kama mninga na mkongo.
 
Kibali chake wanatoa kwa cubic meter. Kipindi hicho ilikuwa 350k lakini, siunajua mkono mtupu haulambwi? Lazima ujiongeze mkuu. Ila hizo kweli ni za moto, ni kama mninga na mkongo.
Mkuu hiyo miti ni haramu kukutwa nayo since 2010, yaani haina kibali kabisa , unless utumie njia za ujanja ujanja, ila huo mti hauruhusiwi kabisa kuvunwa. Yaani hata ukutwe msituni umedondoka wenyewe unaachwa uoze badala ya kuchanwa mbao. Yaani kwa kifupi hairihusiwi kuvunwa kabisa.
 
Habari za mchana na habari za jioni!

Kuna fundi nilimpa Hela anitengenezee kitanda cha mbao za kenfa nilizozipata kwa shida.

Yapata Sasa mwaka kitanda bado na Hela kala na mbao zangu Katengenezea kitanda kingine kauza 😡.

Nimeenda kumshitaki kajitetea atanitengenezea kitanda kingine, ila Katengeneza kitanda na mbao ambazo sio za kenfa.

Mi nimegoma kupokea hicho kitanda, tumeenda Tena mbele kwa mbele nikaambiwa nimpe gharama za mbao za kenfa na hela ya kitanda niliyompa anilipe.

Zile mbao za kenfa zilinigharimu 2.5ml kwasababu ya kibali chake kuwa ni cha shida yaani hawatoi kabisa.
Sasa huyu kapenta amegoma katakata na mtaani haonekani Tena.

Mimi ujumbe wangu ni huu jasho la mtu haliendi Bure Bure, utataga tu muda ukifika.

Tuweni makini na hawa matapeli jamani, mtu unachukua kazi nyingi kuzidi uwezo wako was kuzihudumia. 🤬
Mafundi seremala wote wana laana hao sababu walimgonga yesu misumar pale msalaban

Na laana hiyo itaendelea maisha yao yooote
 
Woodworking minus patience equals firewood.” “Woodworking matters. It's more than a pastime or hobby—being a woodworker means that you know the satisfaction and pride that comes from using your hands and mind to build beautiful, functional objects, and that you're as interested in the process as the outcome.
Waw! And in the process you keep on fraudulent activities. You are corrupt, cheating and not honest.
 
Ni njaa zao tu na sio duniani, ila bongo kila mahali ni utapeli na wizi tu
Ndio maana wanakufa masikini
Fundi hana hata guta la kubebea mbao au ku deliver kabati kwako au kitanda
Yaani anakufa huku akiwa ameifanya kazi miaka zaidi ya 20 ila mwizi mwizi tu na analisha familia kwa kubangaiza
Hivi kweli unategemea kupata millionaires hapo wawe na kiwanda kikubwa sahau
Yaani kila sekta ya ufundi ni majizi tu
Huwezi kukuta mtu ana kampuni na magari yake kwa shughuli kama seremala, ujenzi, fundi umeme nk wote ni njaa tu

Mtu anakuja hata tools ukiangalia zimechoka kama akili yake
Wewe ndio wa kumuambia plan zote yeye hana hata ushauri hapo mawazo yake kukuibia hata shuka lililoanikwa uani
Wana laana woote
 
Back
Top Bottom