Ni kwanini makapenta (Mafundi Seremala) wengi wao ni matapeli?

Ni kwanini makapenta (Mafundi Seremala) wengi wao ni matapeli?

Hiyo kenfa ni miti Fulani mirefu na minene, mbao yake Huwa nyekundu, inataka kufanana na calypta au mininga. Kibali chake kinatoka kwa cubic meter.

Ni ngumu sana hizo mbao na wanasema ukiwa nazo ndani basi hata watu wabaya si rahisi kukuzuru. Pine na saiprasi nazenyewe ni jamii hiyo ila kenfa yenyewe kabisa Ile mekundu ni extinct ila ipo kwa uchache. Picha ntakuletea siku nikiingia Tena chimbo.
Picha ?
 
Umenikumbusha fundi nguo daa hao ni waizi balaa yaani pepo hawaioni ng'oooo
Yaani kitambaa chako unakuta mtoto wa jirani kavaa kaptula 😄 hiyo miaka ya nyuma sana wakati tunashonewa za sikukuu 😄
Mafundi nguo wengi wezi mno, bora hata huyo anaekata kitambaa, kuna wale unawapa kitambaa na nguo haikamiliki.
 

Attachments

  • Screenshot_20240307_221027_Google.jpg
    Screenshot_20240307_221027_Google.jpg
    331.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240307_221052_Google.jpg
    Screenshot_20240307_221052_Google.jpg
    264.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240307_221119_Google.jpg
    Screenshot_20240307_221119_Google.jpg
    576.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240307_221144_Google.jpg
    Screenshot_20240307_221144_Google.jpg
    359.9 KB · Views: 1
Yesu ni Myahudi, huwezi linganisha Myahudi, Mkorea ama Mjapani na sisi Australopithecus africanus.
"Australopithecus africanus." Hii specie (jamii), anapokuwa ni fundi chukua tahadhari kubwa. Ni waongo-waongo, wezi wezi, mambo ya ujanja- ujanja. Ukishampa kazi utamsikia naomba Advance. Ukimpa advance, kesho yake ukija kukagua maendeleo ya kazi utasikia ametoka kidogo atarudi baadaye. Hapo ndo imetoka ni kusumbuana kumeanza. Ukimkuta kwa bahati mbaya atadai alienda kutafuta mali ghafi na hakupata kama alivotarajia. Bei imebadilika n.k.nk.
 
Habari za mchana na habari za jioni!

Kuna fundi nilimpa Hela anitengenezee kitanda cha mbao za kenfa nilizozipata kwa shida.

Yapata Sasa mwaka kitanda bado na Hela kala na mbao zangu Katengenezea kitanda kingine kauza 😡.

Nimeenda kumshitaki kajitetea atanitengenezea kitanda kingine, ila Katengeneza kitanda na mbao ambazo sio za kenfa.

Mi nimegoma kupokea hicho kitanda, tumeenda Tena mbele kwa mbele nikaambiwa nimpe gharama za mbao za kenfa na hela ya kitanda niliyompa anilipe.

Zile mbao za kenfa zilinigharimu 2.5ml kwasababu ya kibali chake kuwa ni cha shida yaani hawatoi kabisa.
Sasa huyu kapenta amegoma katakata na mtaani haonekani Tena.

Mimi ujumbe wangu ni huu jasho la mtu haliendi Bure Bure, utataga tu muda ukifika.

Tuweni makini na hawa matapeli jamani, mtu unachukua kazi nyingi kuzidi uwezo wako was kuzihudumia. 🤬
fundi wa kweli kinyozi pekee.
 
Usimpe Kazi selemara asiye na mtaji,

Chukua wale maboss wanaomiliki au wasimamizi wa mashine za mbao (sehemu inayokutanisha maseremara kibao) wao wataajiri selemala wanaemwamini pale afanye ile kazi, huwa wanapenda Cha juu kdg Kama udalali flani.

Mara nyng wale hawasumbuliwi maana fundi akizingua kwao, Hana tn kijiwe Cha kufanyia Kazi, hivyo huwaheshimu sn hao

IKISHINDIKANA KABISA,

Fanya Kama wanavofanya serikali,

KILA kitu gharamia mwenyewe Kisha sisi tutanunua bidhaa kwako iliyokamilka kwa CASH.

Hapa mafundi wababaishaji watakimbia nduki
 
Back
Top Bottom