Ni kwanini makapenta (Mafundi Seremala) wengi wao ni matapeli?

Kenfa uliitoa Upareni au Lushoto?
 
Samahani mkuu mbao za kenfa zipoje? Ndio nazisikia leo. Kama una picha ya hizo mbao au mti wake naomba nionyeshe.

Pole pia kwa tukio hilo
Nashindwa kuiweka kwenye hardwood or softwood, ila inapatikana kwa wingi zaidi kwenye hifadhi ya misitu ya milima ya Usambara Lushoto na Upareni. Kadri inavyokaa miaka mingi ndo inazidi kuwa myekundu. TAFOR wanailinda sana
 
Yes, Moshi na Manyara pia inapatikana kwa wingi. Sijajua Iringa na Mbeya kama ipo
Iringa ndio zipo ambazo ni pine na cyprus japo zile kenfa zenyewe zimeadimika sana. Na hizo kenfa na mininga na ule mwingine nahisi ni mkongo ni miti iliyo hatarii kupotea!
 
Mkuu; Pole sana aisee. Fundi ni Kinyozi tuu. Hao wengine wote ukianzia na fundi seremala, fundi cherehani, fundi umeme na watengeneza grills/wachomeaji ni pasua kichwa sana. Kwa wote hao yamenikuta - sina hamu kabisa.
 
Huyo aliyewatapeli bado yupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…