Ni kwanini makapenta (Mafundi Seremala) wengi wao ni matapeli?

Picha ?
 
Umenikumbusha fundi nguo daa hao ni waizi balaa yaani pepo hawaioni ng'oooo
Yaani kitambaa chako unakuta mtoto wa jirani kavaa kaptula 😄 hiyo miaka ya nyuma sana wakati tunashonewa za sikukuu 😄
Mafundi nguo wengi wezi mno, bora hata huyo anaekata kitambaa, kuna wale unawapa kitambaa na nguo haikamiliki.
 
Yesu ni Myahudi, huwezi linganisha Myahudi, Mkorea ama Mjapani na sisi Australopithecus africanus.
"Australopithecus africanus." Hii specie (jamii), anapokuwa ni fundi chukua tahadhari kubwa. Ni waongo-waongo, wezi wezi, mambo ya ujanja- ujanja. Ukishampa kazi utamsikia naomba Advance. Ukimpa advance, kesho yake ukija kukagua maendeleo ya kazi utasikia ametoka kidogo atarudi baadaye. Hapo ndo imetoka ni kusumbuana kumeanza. Ukimkuta kwa bahati mbaya atadai alienda kutafuta mali ghafi na hakupata kama alivotarajia. Bei imebadilika n.k.nk.
 
fundi wa kweli kinyozi pekee.
 
Usimpe Kazi selemara asiye na mtaji,

Chukua wale maboss wanaomiliki au wasimamizi wa mashine za mbao (sehemu inayokutanisha maseremara kibao) wao wataajiri selemala wanaemwamini pale afanye ile kazi, huwa wanapenda Cha juu kdg Kama udalali flani.

Mara nyng wale hawasumbuliwi maana fundi akizingua kwao, Hana tn kijiwe Cha kufanyia Kazi, hivyo huwaheshimu sn hao

IKISHINDIKANA KABISA,

Fanya Kama wanavofanya serikali,

KILA kitu gharamia mwenyewe Kisha sisi tutanunua bidhaa kwako iliyokamilka kwa CASH.

Hapa mafundi wababaishaji watakimbia nduki
 
Mafundi wa fani zote wengi wao ni matapeli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…