Ni kwanini Makonda anakagua miradi iliyotekelezwa na Serikali na kisha kuikabidhi kwa CCM?

Nchi ni mali ya Mwenyekiti wa CCM
Acha kujitukana na kuwatukana watanzania......
Acha kumtukana rais wako...huko ni kumuonea na kumsingizia....

Acha kuyadhalilisha MAKABURI ya wazee wetu wa KUANZIA VITA YA MAJIMAJI kuja AA TAA TANU ASP CCM na wale wote wasio na ITIKADI ya VYAMA VYA siasa waliotufikisha hapa tulipo...
UNAWAKOSEA KULIKO KUKUBWA kwa sababu tu ya hizi siasa zenu za TARNISHING OF OTHERS' IMAGE...

Think thrice
 
Paleka huku upuuzi, kila siku husikii akisema ametoa hela zake kwenda kwenye miradi na mnashangilia?
 
Tutamwambia mbowe nae akague miradi na kuikabidhi serikali
 
Acha akague tu sisi ndiyo wapiga kura tunajua wapi pa kuweka kura zetu.
Hawatoamini hiyo Oktoba.
 
Wajinga ndio waliwao. Kodi tutoe sisi halafu miradi iwe ya CCM? Akili za wapi hizo.
 

Hoja iko juu ya uwezo wako, anza kwa kujifunza kuandika kwanza JF ipo tu utakuja uchangie.
 

Umeandika mareeefu utopolo mtupu!
 
Chama cha mapinduzi ndicho kinaisimamia serikali kwa hiyo ikikamilika serikali inakabidhi ripoti na miradi kwa chama kuwa sisi kazi mliyoyututuma serikali tufanye hiyo hapo tunawakabidhi.

Siasa za kipuuzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…