Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Nchi ni mali ya Mwenyekiti wa CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kujitukana na kuwatukana watanzania......Nchi ni mali ya Mwenyekiti wa CCM
Paleka huku upuuzi, kila siku husikii akisema ametoa hela zake kwenda kwenye miradi na mnashangilia?Acha kujitukana na kuwatukana watanzania......
Acha kumtukana rais wako...huko ni kumuonea na kumsingizia....
Acha kuyadhalilisha MAKABURI ya wazee wetu wa KUANZIA VITA YA MAJIMAJI kuja AA TAA TANU ASP CCM na wale wote wasio na ITIKADI ya VYAMA VYA siasa waliotufikisha hapa tulipo...
UNAWAKOSEA KULIKO KUKUBWA kwa sababu tu ya hizi siasa zenu za TARNISHING OF OTHERS' IMAGE...
Think thrice
Hujui kazi ya Bunge.Kazi ya bunge ni kuijadiri iyo milandi iliyo ndani ya ilani ya chama
Kipindi hiki tumevamiwa na wajinga fulani kwenye uongozi wa nchi hii na wameharibu nchi sana nadhani mnawajua.
Hata sisi wananch hatuijui serekal ila ccm sababu ndio tulio wapa dhamana so wao ndio wanatakiwa waje Tena kwetu kutuonesha kama kwel Yale walio tuahid na tuliyo watuma wameyafanya kweli
Ndiomana hata chadema Hua mnaitukana ccm pale serikal inapo borongo Hua hamuitukan serekal directly
Ndivyo inatakiwa iwe, sema mfa maji haishi kutapatapaKwanini isikabidhiwe kwa Watanzania (wananchi)
Ya "akutukanaye".....
Acha kuunganishaunganisha picha ili upate mtiririko uutakao.....
Makonda ni mwanasiasa kijana na alianza kuandamwa siku nyingi huko toka akiwa TAHLISO...
Jiwe la kumshambulia kuliko kukubwa LILISIMIKWA pale aliposimama kidete kuyaongelea machafu ya upigaji juu ya lile jengo letu la vijana UVCCM....
IKUMBUKWE ALIKUWA ANAPAMBANA NA WATU WALIOKUWA NYUMA YA MAGOGO WA UPIGAJI NCHINI HAPA.
HAYO YAKAPITA
CHUKI ikaendelea dhidi yake pale alipokuwa anasimama KISIASA na baadhi ya wale "mitume 12 wa BUNGE".......
Makonda AMEKUWA mhanga wa mashambulizi YANAYORATIBIWA VYEMA kutoka kwa wale watu wenye NGUVU zisizoeleweka.....
Nakukumbusha tu uwezo wa HAO WATU....
Mh.Mizengo Kayanza Peter Pinda alishawahi kulalamika bungeni kuwa
"majitu hayo Yana mitandao mipana yenye propaganda na udundumwizi mwingi,si majitu mepesi hata KIDOGO"
Sasa km waziri mkuu....mtendaji mkuu wa serikali...mtu ambaye anaijua nchi zaidi ya kijana mwenzetu makonda ANAYAPWAGA HAYO HADHARANI.....
Je akitokea kijana mkakamavu na jasiri wa kuyasema hayo,ATABAKI SALAMA?!!!
TUWENI WAKWELI JAMA...
Makonda anashambuliwa kukubwa na wengi ambao wamekodisha "wapiga miluzi ya CHUKI" wasio na IDADI....
Mnyonge mnyongeni,Haki yake mpeni.
THINK THRICE
Kazi ya bunge ni kuijadiri iyo milandi iliyo ndani ya ilani ya chama
Tutamwambia mbowe nae akague miradi na kuikabidhi serikali
Wajinga ndio waliwao. Kodi tutoe sisi halafu miradi iwe ya CCM? Akili za wapi hizo.
Siyo ya wanannchi tena, tumeamua tumiliki sisi chama.Miradi yote iko chini ya Chama cha Mapinduzi.
Chama cha mapinduzi ndicho kinaisimamia serikali kwa hiyo ikikamilika serikali inakabidhi ripoti na miradi kwa chama kuwa sisi kazi mliyoyututuma serikali tufanye hiyo hapo tunawakabidhi.
Tulieni dawa iwaingie poor you vijana wa ufipa
Hapo sasaMbona nyie hamuikabidhi serikali?