Ni kwanini mji wa Moshi hauna taa za barabarani za kuongoza Magari?

Ni kwanini mji wa Moshi hauna taa za barabarani za kuongoza Magari?

Umesema Moshi kuna mtandao mpana wa barabara, huoni hilo linaondoa msongamano wa magari ?
Moshi hakuna junction inayosababisha msongamano maana anaweza kuchepukia popote kitu kinachopunguza matumizi ya taa.
uzuri wa moshi kuna njia nyingi za kuingia town so magari hayasongamani sehemu moja
 
swali zuri sana taa ziwekwe wapi pale manake round about zimejitosheleza
kuna watu hawajui hizo taa huwa zinawekwa kitalaamu ni lazima analysis ifanyike ionekane kuna uhitaji Wa taa na sio kuweka mji labda jamaa a nadhani ndo mji utapendeza.
Zinawekwa kwa kigezo
 
"Ifahamike kuwa mpaka sasa Manispaa ya Moshi ndio manispaa inayoongoza kwa kuwa na mtandao mpana wa barabara ukiondoa majiji machache yalioyopo Tanzania, hii ni kwa mujibu wa TARURA. www.tarura.go.tz

Nini kinashindikana kuziweka hizi taa?"

Mtoa mada kutoa jibu na swali lake kwa wakati mmoja.

Moshi kuna mtandao mzuri sana wa barabara, na ninakubaliana na TARURA na mleta mada.

Mimi binafsi nikitokea, mfano, barabara ya International School nikipita Round about/keep left ya Mahakamani, wakati wa kutoka mjini sina haja tena ya kurudi na njia hiyo maana huko mbele kuna njia si chini ya nne za kutoka.

Hakuna sehemu yenye uhitaji wa mataa kwa mji wa Moshi. Roand about zipo kila Kona, na barabara zimejotosheleza.
 
Anzeni kuomba kujengewa stend kwanz,inatia aibu

Tuombe wakati hela tunazo??

Bilioni 17 zipo tayari na mradi umeshaanza stendi inajengwa karibu na Kiborloni.

Hata hivyo, stendi iliyopo ni nzuri ila inahitaji kuhamishiwa pembeni ya Mji
 
"Ifahamike kuwa mpaka sasa Manispaa ya Moshi ndio manispaa inayoongoza kwa kuwa na mtandao mpana wa barabara ukiondoa majiji machache yalioyopo Tanzania, hii ni kwa mujibu wa TARURA. www.tarura.go.tz

Nini kinashindikana kuziweka hizi taa?"

Mtoa mada kutoa jibu na swali lake kwa wakati mmoja.

Moshi kuna mtandao mzuri sana wa barabara, na ninakubaliana na TARURA na mleta mada.

Mimi binafsi nikitokea, mfano, barabara ya International School nikipita Round about/keep left ya Mahakamani, wakati wa kutoka mjini sina haja tena ya kurudi na njia hiyo maana huko mbele kuna njia si chini ya nne za kutoka.

Hakuna sehemu yenye uhitaji wa mataa kwa mji wa Moshi. Roand about zipo kila Kona, na barabara zimejotosheleza.
Ahsante.
Mleta mada apitie comment yako kwa umakini naamini atapata jibu😊
 
Back
Top Bottom