Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,401
- 2,872
Ahsante.
Mleta mada apitie comment yako kwa umakini naamini atapata jibuš
Wewe Sasa nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante.
Mleta mada apitie comment yako kwa umakini naamini atapata jibuš
Wachaga wameshindwa kuiba taa kutoka sehemu zingine
Hakika Moshi hupajui kiongozi.Ungenambia tabora au bagamoyo ingemeki sensi.
Ha ha ha umetisha mkuu.Wachaga wameshindwa kuiba taa kutoka sehemu zingine
Watu msiopajua Moshi mna matatizo sana kwa kweli...Jibu ni moja tu huo mji ni wa kishamba sana
Hata mbunge wa ubungo ...ambaye pia ni waziri ..kiasili ni mtu wa moshi kitila mkumboWaziri wa Kilimo ni Prof. Mkenda na ni Mbunge wa Rombo, Kilimanjaro.
Naibu Waziri wa Afya ni Dr Mollel, na ni Mbunge wa Siha, Kilimanjaro.
Anamringi Macha ni Mbunge Viti Maalum Kilimanjaro, na ni Naibu Waziri.
Uongo dhambi!
Au ninasema uongo ndugu zangu?
Hata mbunge wa ubungo ...ambaye pia ni waziri ..kiasili ni mtu wa moshi kitila mkumbo
Daa kuna upendeleo hapa naona. Kuna waziri anatokea Lindi,mtwara ,mbeya rukwa katavi morogoro singida ama taboara.hebu mlikeni huko muone kama Umepata mwakilishi serikaliniWaziri wa Kilimo ni Prof. Mkenda na ni Mbunge wa Rombo, Kilimanjaro.
Naibu Waziri wa Afya ni Dr Mollel, na ni Mbunge wa Siha, Kilimanjaro.
Anamringi Macha ni Mbunge Viti Maalum Kilimanjaro, na ni Naibu Waziri.
Uongo dhambi!
Au ninasema uongo ndugu zangu?
Wakuu imebidi niuize ili nijue.
Ni kwanini mji wa Moshi ambao ndio makao makuu ya Mkoa wa Kilimanjaro hauna taa za kuongozea magari, ili hali miji midogo kama Singida, Shinyanga na Babati naona wameweka taa za kuongoza magari.
Ifahamike kuwa mpaka sasa Manispaa ya Moshi ndio manispaa inayoongoza kwa kuwa na mtandao mpana wa barabara ukiondoa majiji machache yalioyopo Tanzania, hii ni kwa mujibu wa TARURA. www.tarura.go.tz
Nini kinashindikana kuziweka hizi taa?
Si rahisi kwa magu kufanya chochote cha maendeleo Moshi, sababu anazijua mwenyewe.Wakuu imebidi niuize ili nijue.
Ni kwanini mji wa Moshi ambao ndio makao makuu ya Mkoa wa Kilimanjaro hauna taa za kuongozea magari, ili hali miji midogo kama Singida, Shinyanga na Babati naona wameweka taa za kuongoza magari.
Ifahamike kuwa mpaka sasa Manispaa ya Moshi ndio manispaa inayoongoza kwa kuwa na mtandao mpana wa barabara ukiondoa majiji machache yalioyopo Tanzania, hii ni kwa mujibu wa TARURA. www.tarura.go.tz
Nini kinashindikana kuziweka hizi taa?
ongezea Musoma + shinyanga + kigomaWakuu imebidi niuize ili nijue.
Ni kwanini mji wa Moshi ambao ndio makao makuu ya Mkoa wa Kilimanjaro hauna taa za kuongozea magari, ili hali miji midogo kama Singida, Shinyanga na Babati naona wameweka taa za kuongoza magari.
Ifahamike kuwa mpaka sasa Manispaa ya Moshi ndio manispaa inayoongoza kwa kuwa na mtandao mpana wa barabara ukiondoa majiji machache yalioyopo Tanzania, hii ni kwa mujibu wa TARURA. www.tarura.go.tz
Nini kinashindikana kuziweka hizi taa?
umeandika kama utani ila ukweli ni huu watu wasiojua.Mkoa wa Kilimanjaro watawala wetu walitaka upewe uhuru wake kutokana na watu wake kuwa na mwanga sana kielimu.Mkoa wa kilimanjaro wana wimbo wao wa kitaifa(kimkoa).Nyerere alivyokuwa mjanja sana na kuona mbali akaogopa mgawanyiko alichofanya akamuingiza chief Mareale kwenye TANU akawa amemmaliza kabisa.Pengine leo hii Kilimanjaro ingekuwa kataifa kadogo ndani ya taifa kubwa la Tanzania kama ilivyo Lesotho ilivo ndani ya Africa kusiniNafikiri Moshi ilitakiwa kuwa makao makuu ya Nchi.
Moshi sio jiji na binafsi siungi mkono kua Jiji
Unajua athari ya neno Jiji?
Hujui
Nakuelewesha,jiji maana yake ni rapid expansion ya matumizi ya ardhi horizontally
Likiwa jiji maana yake in a year or two ule mlima mzima utakua makazi ya watu kwa viwanja vya 15x15m.
Sasa basi,hili wanalijua na World Heritage wanalijua ndio maana ule mji ulipo hapafai kutanuka kua jiji kama unavyotaka
Wahamishe labda chini ya KIA karibu na wilaya ya Simanjiro au TPC chini kabisa karibu na mkoa wa Manyara,etc
Pale Moshi ilipo,ikitanuka zaidi ni disaster unatfuta,maana mlima wote utakua jangwa bila uoto wowote...
Ila wewe jinsi ulivyo kichaa na maCCM menzako mtakuja hapa na hoja za kipumbavu za "JIJI"....nonsense!