Ni kwanini mji wa Moshi hauna taa za barabarani za kuongoza Magari?

Ni kwanini mji wa Moshi hauna taa za barabarani za kuongoza Magari?

Pa kishamba sana hapo Moshi. Hovyo, halafu eti minywa mbege inataka eti hicho kijiji liwe jiji, khaaa mtasubiri sana.
Washamba wapo kwenu chato
Mji wa moshi hauna haja ya taa kwakuwa una barabara nyingi za mzunguko(round abouts) za kuingia na kutoka mjini
Pia ni mji unaoongoza Kitaifa kwa mtandao mpana wa barabara kwa mujibu wa tarura umeelewa ewe mchunga mbuzi?
 
Mtasubiri sana. Hakuna jiji hapo
Hahaaahahaaaaaa...... Wezi wa mali ya uma ni viongozi wanaoletwa na serikali.
Halafu kuna wakati bora ukae kimya ufiche upumbavu wako. Unasema Moshi haiendelei.... Hebu tuambie tafsiri ya maendeleo kwa kikwenu? Au taa za barabarani ndio maendeleo?
Na kwa taarifa yako Moshi ilishapata sofa za kuwa jiji zamani kabla ya Tanga, Mbeya. Kikwazo kikuu ni ukubwa wa eneo tu. Manispaa ya Moshi ina eneo dogo sana la ukubwa. Mazungumzo yanaendelea na Halimashauri ya Moshi (Moshi DC) ili kumega eneo la Moshi DC kwenda Moshi MC (Manispaa) ili kuwa na Jiji la Moshi......... COMING SOON...
 
Huyo Lwambo ni mshamba na limbukeni sana, bora umempa makavu.
Kwann utaje chato, una uhakika uyo mtu ni wa chato, ndio mnasababisha watu wahisi nyinyi ndio mnaleta ukabila dhidi ya Kanda ya ziwa, me mchaga mkazi wa moshi, ila hukuwa na haja ya kuhusisha chato, grow up
 
Pa kishamba sana hapo Moshi. Hovyo, halafu eti minywa mbege inataka eti hicho kijiji liwe jiji, khaaa mtasubiri sana.
Na bado mtatokwa povu Sana ninyi wapanda fisi, moshi inaenda kuwa jiji sooni jiwe ndio aliibania
 
Tatizo mnadhani Marehemu yupo bado. Alichowaachia dhidi yetu ni chuki peke yake.
Kojoa ulale. Moshi hakuna jiji. Huko Kilimanjaro ni makaburini kama kinondoni makaburini
 
Na bado mtatokwa povu Sana ninyi wapanda fisi, moshi inaenda kuwa jiji sooni jiwe ndio aliibania
Marehemu mchato alikuwa akiichukia Sana kaskazini.
Alitamani Yale yote yaliyopo Moshi ayang'oe ayapeleke chato, alianzisha ukabila wazi wazi kizee kile, akasahau wakaskazini wapo mbele hatau 10,000 hata asipopeleka hata Mia huku tunajichanga tunaweka lami wenyewe
 
Ninyi washenzi. Jitu linaacha mke migombani halafu baba yake anakula mkamwana wake, fyuuuu, jinga kabisa minywa mbege na meno kama kashata.
Ni afadhali hiyo kuliko ninyi mnaochukuana misukule Aina ya "imitunga" ya kulimia majaruba hovyo Sana nyie wapanda fisi
 
Back
Top Bottom