Ni kwanini Rais Samia anapendwa, anaaminika na kukubalika sana kila kona ya Tanzania?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Je, ni dhamira na nia yake njema kwa Taifa letu pekee? Au ni kwa namna alivyofanikiwa kuliunganisha taifa kwa falsafa yake ya 4Rs na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu?

Au ni uwajibikaji wake wa viwango na record yake safi ya maendeleo yanayoonekana kwa wanainchi kwa muda mfupi na iliyotukuka kwenye nyanja za kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa?

Kwa maoni yako ya kizalendo, ni kipi hasa kimekufanya kutomskiliza mwanasiasa mwingine yeyote nchini ispokua Dr.Samia Suluhu Hassan, sambamba na mamilioni ya waTanzania kote nchini?

Na je,
ungependelea kuona kiongozi huyu shupavu na madhubuti anaongoza taifa letu hata zaidi ya mwaka 2030, ili kusudi taifa letu liyafikie malengo yake ya kimaendeleo chini ya uongozi wake? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
 
Kazi zinaonekana.
Wako waliofhani Eti ni mwanamke hataweza chochote. Hakika amewa - prove wrong.

Wanaomlaumu ni wavivu wa akili na kazi, Ni Wenye wivu na mafanikio ya Mtu, ni Wenye mfumo dume uliopitwa na wakati
 
Labda kina Mwijaku, baba Levo, Doto magari na watu wa hulka hiyo, kifupi machawa wasotaka onyesha hisia zao na uhalisia wa mioyo yao bali vipande 30 vya fedha
 
Kazi zipi? Kuna uvumbuzi mpya alioufanya (invention), anatekeleza majukumu yake kama watumishi wengine
 
Je, ni dhamira na nia yake njema kwa Taifa letu pekee? Au ni kwa namna alivyofanikiwa kuliunganisha taifa kwa falsafa yake ya 4Rs na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu?

Au ni uwajibikaji wake wa viwango na record yake safi ya maendeleo kwa wanainchi kwa muda mfupi na iliyotukuka kwenye nyanja za kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa?

Kwa maoni yako ya kizalendo, ni kipi hasa kimekufanya kutomskiliza mwanasiasa mwingine yeyote nchini ispokua Dr.Samia Suluhu Hassan, sambamba na mamilioni ya waTanzania kote nchini?

Na je,
ungependelea kuona kiongozi huyu shupavu na madhubuti anaongoza taifa letu hata zaidi ya mwaka 2030, ili kusudi taifa letu liyafikie malengo yake ya kimaendeleo chini ya uongozi wake? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Ccm daima Samia mitano tena
 
Sasa mbona kwenye kujiteua kuwa mgombea pekee kikao alikiongoza yeye badala kumuachia mwingine kama sheria zinavyotaka huyo anaeoendwa saana alikuwa anaogopa nini?
gentleman,
ni kipi hasa kimekufanya umkubali na kumpenda sana Dr.Samia Suluhu Hassan Kuliko mwanansiasa mwingine yoyote nchini?

mengineyo andikia uzi gentleman:pedroP:
 
Anapendwa na walio kwenye nafasi ya kula keki ya taifa. Kiongozi yeyote mwenye leadership style ya Laissez-faire hupendwa na watu wa tabaka la juu na wale wajinga wajinga lakini mwananchi wa hali ya chini hapana
 
20250301_114605.jpg
 
Labda kina Mwijaku, baba Levo, Doto magari na watu wa hulka hiyo, kifupi machawa wasotaka onyesha hisia zao na uhalisia wa mioyo yao bali vipande 30 vya fedha
jikite kwenye hoja gentleman makasiriko si muhimu kabisa:pedroP:
 
Anapendwa na walio kwenye nafasi ya kula keki ya taifa. Kiongozi yeyote mwenye leadership style ya Laissez-faire hupendwa na watu wa tabaka la juu na wale wajinga wajinga lakini mwananchi wa hali ya chini hapana
wajanja punguzeni makasiriko na chuki basi gentleman mtapendekaje sasa?:pedroP:
 
Mtu anayependwa huwezi kuta kajaza mabango kila sehemu
Hawezi tumia nguvu kuonekana anapendwa

Ukitaka amini andaeni mkutano bila kupeleka wanafunzi, wasanii na kubeba watu
 
Je, ni dhamira na nia yake njema kwa Taifa letu pekee? Au ni kwa namna alivyofanikiwa kuliunganisha taifa kwa falsafa yake ya 4Rs na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu?

Au ni uwajibikaji wake wa viwango na record yake safi ya maendeleo yanayoonekana kwa wanainchi kwa muda mfupi na iliyotukuka kwenye nyanja za kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa?

Kwa maoni yako ya kizalendo, ni kipi hasa kimekufanya kutomskiliza mwanasiasa mwingine yeyote nchini ispokua Dr.Samia Suluhu Hassan, sambamba na mamilioni ya waTanzania kote nchini?

Na je,
ungependelea kuona kiongozi huyu shupavu na madhubuti anaongoza taifa letu hata zaidi ya mwaka 2030, ili kusudi taifa letu liyafikie malengo yake ya kimaendeleo chini ya uongozi wake? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Mkuu huu ni uongo wa wazi kabisa ukiacha Promo za TBC na watu ambao mmeandaliwa huku mitandaoni mfn Lucas mwashambwa na wewe hapo tufanye hapo ulipo uliza watu watano waliokuzunguka uone wanasema nini kuhusu Raisi majibu utayapata plz usipotoshe umma wa jf hapa watu wana akili timamu
 
Back
Top Bottom