Ni kwanini Rais Samia anapendwa, anaaminika na kukubalika sana kila kona ya Tanzania?

Ni kwanini Rais Samia anapendwa, anaaminika na kukubalika sana kila kona ya Tanzania?

Pengine analipwa kwa kazi hiyo. Kama analipwa basi ni njaa ndo imesababisha awe wa kusifiasifia tofauti na hapo atakuwa ni mtu mjinga kipindukia
Gentleman,
hakuna haja ya malipo kwa kusema ukweli,

lakini pia hakuna haja ya makasiriko kuelezwa ukweli 🐒
 
Sasa mbona kwenye kujiteua kuwa mgombea pekee kikao alikiongoza yeye badala kumuachia mwingine kama sheria zinavyotaka huyo anaeoendwa saana alikuwa anaogopa nini?
MKuu usihangaike na chawa huwa anajitekenya mwenyewe kisha anacheka
 
COMEDIANS HUWA WANAFURAHISHA SANA. AWEKE WAZI NAFASI YA KUGOMBEA KUTEULIWA NDANI YA CHAMA KWANZA. AMEKUWA MWOGA KAAMUA KUJITEUA. BINGWA WA KOMEDI 🤣🤣🤣
Gentleman,
sasa waTanzania wote wazalendo wana makosa gani kumpenda kiongozi wao Dr Samia Suluhu Hassan?🐒
 
Je, ni dhamira na nia yake njema kwa Taifa letu pekee? Au ni kwa namna alivyofanikiwa kuliunganisha taifa kwa falsafa yake ya 4Rs na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu?

Au ni uwajibikaji wake wa viwango na record yake safi ya maendeleo yanayoonekana kwa wanainchi kwa muda mfupi na iliyotukuka kwenye nyanja za kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa?

Kwa maoni yako ya kizalendo, ni kipi hasa kimekufanya kutomskiliza mwanasiasa mwingine yeyote nchini ispokua Dr.Samia Suluhu Hassan, sambamba na mamilioni ya waTanzania kote nchini?

Na je,
ungependelea kuona kiongozi huyu shupavu na madhubuti anaongoza taifa letu hata zaidi ya mwaka 2030, ili kusudi taifa letu liyafikie malengo yake ya kimaendeleo chini ya uongozi wake? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Hujiulizi kwanini nyuzi za kumsifia ni wewe tu unaleta!!!!
 
Usituchote akili, wewe na mwenzio Lucas Mwashambwa mnalipwa kwa kazi ya kusifia. Njaa mbaya sana
Hawa wanalipwa na nani? Usishindane na anayependwa na mwenye kibali na Mungu
Screenshot_20250228-151151_1.jpg
Screenshot_20250228-165043_1.jpg
Screenshot_20250228-164846_1.jpg
 
relax gentleman,
kuupokea ukweli inahitaji mazoezi ya mara kwa mara,

tuache utani,
Dr.Samia Suluhu Hassan anakubalika na anapendwa bana dah :pedroP:
Punguza propaganda
Kuuza bandari na mengineyo ndio kup
Aliyewaloga wanyika Mungu tu anajua.
 
Hawa wanalipwa na nani? Usishindane na anayependwa na mwenye kibali na Mungu View attachment 3256153View attachment 3256154View attachment 3256156
Naona huijui power ya Rais na mwenyekiti wa CCM kikatiba ndo maana unadhani kila mtu ni mjinga. Hujui kuwa watumishi wa umma hutakiwa kuhudhuria matukio hayo na kuna sehemu zingine DEDs na wakuu wa idara huwapiga mkwara watumishi wao kuhudhuria?
Hujui wanafunzi wa shule za msingi na sekondari huamriwa na wakuu wa shule kuhudhuria hiyo mikutano?
Hujui wanaCCM walio walala hoi husombwa na malori kwenda kwenye hiyo mikutano?
Huwezi ukawa na mahaba na mtu kama hunufaiki na chochote kutoka kwake. Huwezi kuusifia mfumo kama hunufaiki nao. Hata wanawake malaya huwasifia wanaume wanaowahonga vizuri.
 
gentleman,
ni kipi hasa kimekufanya umkubali na kumpenda sana Dr.Samia Suluhu Hassan Kuliko mwanansiasa mwingine yoyote nchini?

mengineyo andikia uzi gentleman:pedroP:
🧕🤦🏾‍♂️
 
Je, ni dhamira na nia yake njema kwa Taifa letu pekee? Au ni kwa namna alivyofanikiwa kuliunganisha taifa kwa falsafa yake ya 4Rs na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu?

Au ni uwajibikaji wake wa viwango na record yake safi ya maendeleo yanayoonekana kwa wanainchi kwa muda mfupi na iliyotukuka kwenye nyanja za kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa?

Kwa maoni yako ya kizalendo, ni kipi hasa kimekufanya kutomskiliza mwanasiasa mwingine yeyote nchini ispokua Dr.Samia Suluhu Hassan, sambamba na mamilioni ya waTanzania kote nchini?

Na je,
ungependelea kuona kiongozi huyu shupavu na madhubuti anaongoza taifa letu hata zaidi ya mwaka 2030, ili kusudi taifa letu liyafikie malengo yake ya kimaendeleo chini ya uongozi wake? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Si kweli. Mie sijawahi kumpenda hata sekunde
 
Punguza propaganda
Kuuza bandari na mengineyo ndio kup
Aliyewaloga wanyika Mungu tu anajua.
sasa shangazi propaganda imekaa wapi kwenye ukweli huo kwa mfano?

licha ya kuchoma vitenge but huyo mama anapendwa zaidi kila kona ya nchi 🐒
 
Back
Top Bottom