Je, ni dhamira na nia yake njema kwa Taifa letu pekee? Au ni kwa namna alivyofanikiwa kuliunganisha taifa kwa falsafa yake ya 4Rs na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu?
Au ni uwajibikaji wake wa viwango na record yake safi ya maendeleo yanayoonekana kwa wanainchi kwa muda mfupi na iliyotukuka kwenye nyanja za kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa?
Kwa maoni yako ya kizalendo, ni kipi hasa kimekufanya kutomskiliza mwanasiasa mwingine yeyote nchini ispokua Dr.Samia Suluhu Hassan, sambamba na mamilioni ya waTanzania kote nchini?
Na je,
ungependelea kuona kiongozi huyu shupavu na madhubuti anaongoza taifa letu hata zaidi ya mwaka 2030, ili kusudi taifa letu liyafikie malengo yake ya kimaendeleo chini ya uongozi wake?
Mungu Ibariki Tanzania