Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #21
hakuna haja ya kuuliza kwingineko,Mkuu huu ni uongo wa wazi kabisa ukiacha Promo za TBC na watu ambao mmeandaliwa huku mitandaoni mfn Lucas mwashambwa na wewe hapo tufanye hapo ulipo uliza watu watano waliokuzunguka uone wanasema nini kuhusu Raisi majibu utayapata plz usipotoshe umma wa jf hapa watu wana akili timamu
ni waTanzania wote wananonyesha mapenzi yao kwa uwazi na ujasiri wa kiwango cha juu sana,
huna haja kuzunguka au kubabaika ati sijui ukaulize wapi wakati mambo yapo bayana kabisa katika maeneo yote nchini, achilia mbali yale aliyotembelea na yale anayoyatembelea sasahivi Dr.Samia Suluhu Hassan,
na kwahivyo,
usijipotoshe mwenyewe au kupotoshwa na wengine kwamba hali ya kupendwa na kuaminiwa Dr.Samia Suluhu Hassan, iko vinginevyo tofauti na nilivyoeleza hapo juu

