Ni kwanini Rais Samia anapendwa, anaaminika na kukubalika sana kila kona ya Tanzania?

Nani anampenda, huo utafiti umefanyia kwenye familia yako au?
Kweli yule kiongozi aliesema watanzania ni sawa na mfu hakukosea
gentleman,
bila makasiriko, mihemko, wivu au kinyongo,
waTanzania wanampenda mno Dr.Samia Suluhu Hassan,

nini hasa kinachochea upendo kindakindaki wa wananchi kwa mama huyu?
 
Mpaka Sasa hakuna mradi aliounzisha ukakamilika zaidi ya kukopa zaidi ya trillion 50 na haiijulikani mpaka Sasa zimeenda wapi
 
relax gentleman,
kuupokea ukweli inahitaji mazoezi ya mara kwa mara,

tuache utani,
Dr.Samia Suluhu Hassan anakubalika na anapendwa bana dah
Tunataka bajeti inayoongea,bajeti sahihi kwa mahitaji ya wananchi,sasa kama hawezi kulipa malipo kutokana na bajeti unategemea nini buda,hatuhitaji kukumbushwa utendaji bali utendaji uongee
1.Bei za mazao ya wakulima iendane na pressure ya maisha
2.Wananchi wakijitafuta acheni kuwafinyia kunguni
3.Benki ya kilimo mmeiua
4.Soko la korosho mnaogopa wananchi watapiga bao
5.Mazingira ya Bandari zote yako kikoloni hakuna innovation kuendana na wakati,wavuvi wanatumia magogo badala ya boat jifunze kitu
6.Nishati ya gesi ipungue bei
7 Kodi zipunguzwe kwenye mazao ya uvuvi samaki ukienda mwanza watu wa kawaida hawawezi kumudu.
8.Anahamishia asilimia kumi ya bajeti huko Zanzibar tunapata nini hapo.
9.Taasisi zina vifaa vichakavu haleti mitambo mipya ila kuwapa wanasiasa na machawa pesa za kutupigia makelele kama Masanja
10. Pale ambapo hatujui kesho yetu tunaishia kupoteza haki nyingi za kiraia,uchagizi wa upande mmoja hauleti afya ya demokrasia
11.Huyo mpumzisheni mnaona oneni kwa jina la tatu
 
Anapendwa na walio kwenye nafasi ya kula keki ya taifa. Kiongozi yeyote mwenye leadership style ya Laissez-faire hupendwa na watu wa tabaka la juu na wale wajinga wajinga lakini mwananchi wa hali ya chini hapana
Huyu kula kulala lazima asifie, kwa umri huu bado anakaa kwa shemeji ake mpk leo
 
Hili jangili linaandika sahivi likiwa bar, Samia anapendwa na majizi ya mali za umma
 
Anakubalika na kenge wa ccm, Gaston msigwa, tbc1, na story za mtaani, za, kutengeneza tu
 
kwanini waTanzania wananmpenda zaidi Dr.Samia Suluhu Hassana kulikuo kitu kingine chochote?

yaani kuna mahali huwaambii kitu watu juu ya mama huyu, wanaweza kukuchapa hadi makofi ukileta mdomo,
why are they loving Dr.Samia Suluhu Hassan like that?
Hahahaha
 
Bila wasanii na chawa???
 
COMEDIANS HUWA WANAFURAHISHA SANA. AWEKE WAZI NAFASI YA KUGOMBEA KUTEULIWA NDANI YA CHAMA KWANZA. AMEKUWA MWOGA KAAMUA KUJITEUA. BINGWA WA KOMEDI 🤣🤣🤣
 
😀
 
..... Hiyo ni haki na wajibu kwa mtawala na mtawaliwa.
 
gentleman,
bila makasiriko, mihemko, wivu au kinyongo,
waTanzania wanampenda mno Dr.Samia Suluhu Hassan,

nini hasa kinachochea upendo kindakindaki wa wananchi kwa mama huyu?
Sema wewe ndiye unayempenda na usimsemee mwingine,
Wengine hata kwenye makusanyiko mnaenda kwa kuhongwa tu ila hakuna mapenz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…