Ni kwanini Rais Samia anapendwa, anaaminika na kukubalika sana kila kona ya Tanzania?

Pengine analipwa kwa kazi hiyo. Kama analipwa basi ni njaa ndo imesababisha awe wa kusifiasifia tofauti na hapo atakuwa ni mtu mjinga kipindukia
Gentleman,
hakuna haja ya malipo kwa kusema ukweli,

lakini pia hakuna haja ya makasiriko kuelezwa ukweli πŸ’
 
Sasa mbona kwenye kujiteua kuwa mgombea pekee kikao alikiongoza yeye badala kumuachia mwingine kama sheria zinavyotaka huyo anaeoendwa saana alikuwa anaogopa nini?
MKuu usihangaike na chawa huwa anajitekenya mwenyewe kisha anacheka
 
COMEDIANS HUWA WANAFURAHISHA SANA. AWEKE WAZI NAFASI YA KUGOMBEA KUTEULIWA NDANI YA CHAMA KWANZA. AMEKUWA MWOGA KAAMUA KUJITEUA. BINGWA WA KOMEDI 🀣🀣🀣
Gentleman,
sasa waTanzania wote wazalendo wana makosa gani kumpenda kiongozi wao Dr Samia Suluhu Hassan?πŸ’
 
Hujiulizi kwanini nyuzi za kumsifia ni wewe tu unaleta!!!!
 
relax gentleman,
kuupokea ukweli inahitaji mazoezi ya mara kwa mara,

tuache utani,
Dr.Samia Suluhu Hassan anakubalika na anapendwa bana dah
Punguza propaganda
Kuuza bandari na mengineyo ndio kup
Aliyewaloga wanyika Mungu tu anajua.
 
Hawa wanalipwa na nani? Usishindane na anayependwa na mwenye kibali na Mungu View attachment 3256153View attachment 3256154View attachment 3256156
Naona huijui power ya Rais na mwenyekiti wa CCM kikatiba ndo maana unadhani kila mtu ni mjinga. Hujui kuwa watumishi wa umma hutakiwa kuhudhuria matukio hayo na kuna sehemu zingine DEDs na wakuu wa idara huwapiga mkwara watumishi wao kuhudhuria?
Hujui wanafunzi wa shule za msingi na sekondari huamriwa na wakuu wa shule kuhudhuria hiyo mikutano?
Hujui wanaCCM walio walala hoi husombwa na malori kwenda kwenye hiyo mikutano?
Huwezi ukawa na mahaba na mtu kama hunufaiki na chochote kutoka kwake. Huwezi kuusifia mfumo kama hunufaiki nao. Hata wanawake malaya huwasifia wanaume wanaowahonga vizuri.
 
gentleman,
ni kipi hasa kimekufanya umkubali na kumpenda sana Dr.Samia Suluhu Hassan Kuliko mwanansiasa mwingine yoyote nchini?

mengineyo andikia uzi gentleman
πŸ§•πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ
 
Si kweli. Mie sijawahi kumpenda hata sekunde
 
Punguza propaganda
Kuuza bandari na mengineyo ndio kup
Aliyewaloga wanyika Mungu tu anajua.
sasa shangazi propaganda imekaa wapi kwenye ukweli huo kwa mfano?

licha ya kuchoma vitenge but huyo mama anapendwa zaidi kila kona ya nchi πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…