Ni kwanini sasa miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika iadhimishiwe jijini Mwanza?

Bila shaka u.eshiriki mjadala ukiwa na jazba, japo nimegundua kuwa ulianza vizuri ila hapo ktkt na mwisho jazba imekuzidia, , tuliza kichwa
 
Nyingine alizipiga marufuku lakini hizi zimeendakufanyikia kabisa kwao
 
Mwanza hawakupigania uhuru.
 
Ilihamishiwa Dodoma kwakuwa yaliandaliwa kuwa makao makuu ya serikali. HUKO MWANZA KUNA MAKAO MAKUU YA SERIKALI?
Ni sheria ipi iliyovunjwa mkuu. Hayo ni maadhimisho tu mkuu, na sio sherehe halisi za Uhuru wa Tanganyika. Kumbuka hatupo mwaka 1961 , huu ni waka 2019. Ukitaka hata Moshi kule Marangu inaweza fanyika alimradi ni sehemu ya Jamhuri.
 
Huu n utoko
 
Hamuwezi kuelewa ila mwenyekiti wenu ni mtu anayetukuza ukanda kwenye mambo ya kitaifa.
Pole sana mkuu, naona unauanzisha wewe ukabila kwa kisingizio cha mwenyekiti.

Sherehe zingefanyika Mbeya mngesema kwanini zisifanyike Arusha, zingefanyika Arusha mngesema kwanini zisifanyike Singida.

Mawazo fulani mepesi sana.
 
Kwani Mwanza Ni sehemu ya Ujerumani?
 
Tatizo tunasahau kuwa Wana Mwanza ni miongoni mwa chimbuko la kudai Uhuru na miaka mingi hawakuwahi kumuona Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama katika hafla kubwa za namba ile.
Kwa kuwa hafla hizi zitafanyika kikanda hayumkini zitadumisha Uhuru,umoja na mshikamano wa Taifa.
 
mkuu sherehe za uhuru kufanyika Mwanza imekuwa nongwa? nlidhani Magu anahitaji pongezi kwa kuondoa mazoea ya sherehe hiyo kufanyika sehemu moja tu mwakani Iringa au Mbeya au Tanga au Kigoma nk
Hawa ndio wale waliozoea maisha fulani ya kula bata kwa kutegemea connections za watu wao serikalini.

Kuna kipindi mabosi nane wa TRA walikuwa wanatoka mkoa mmoja wa kaskazini, na watu waliishi kimya tu pasipo maneno kama ya huyu mleta mada.
 

Inaonekana kitaani kwako hukosi kusutwa,kuna vitu vya kujadili na si kila kitu.
 
Kaskazini wasubirie kwanza,Kanda ya ziwa na Kusini zifaidi awamu hii
 
Wanachosahau kingine ni kwamba wasukuma wana mikoa mitano, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Tabora na Geita, ni kabila kubwa kuliko makabila yote, mleta mada kakariri kwamba wasukuma wanatoka Mwanza peke yake.
 
Uzi wa kijinga sana. Yaani jitu zima linalalamika kwa nini mwanza ambako hawajawahi kuwa nazo sasa wamekumbukwa..ufipa mmelaaniwa. Mwanza ni tanzania na wana haki. Msiwe wakabila kiasi hicho kwamba kanda ya ziwa wakipata kama watanzania basi wamependelewa.
 
Hoja ya kipumbav kabisa..... Ni sheria kuwa maadhimisho haya yafanyike dar au Dodoma?...
 

2017 wakati yanafanyika Dodoma ulikuwa bado unanyonya.
 
Weka kifungu cha katiba kinachotetea hoja yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…