Wakuu msilaumu TPDC. Kwanza kabisa utafiti-exploration huwa kuna kampuni special huwa zinafanya hizo kazi, hata hizi kampuni kama shell, total huwa wana subcontract when it comes to exploration.
Kuna zile rigs ambazo zinachimba exploration well kwa siku moja kukaa baharini ni milion 100 ya kibongo ni inatakiwa ikae wiki mpaka wiki 2. Hapo hujaingia kwenye development stage- total ndio wapo kwenye hii stage watajenga bomba kutoka ug mpaka tz kwa dola 3.5 bilioni. Hapo hawajaanza production. shell mpaka sasa kule mtwara washatumia dola bil 2 kwenye exploration. sasa tpdc ingeweza?