Tatizo wasomi wetu wanasoma kwa kukariri tofauti na 'binadamu' wanasoma na kuelewaHabari za Leo wakuu,
Mimi kama mtanzania naumia sana juu ya taifa letu kuto kuwa na mafuta wakati jirani zetu wa Uganda wamevumbua.
Shirika letu la TPDC tangu mwaka 1973 mpaka leo hii 2020 ni miaka 47 halijavumbua mafuta.
Wanafanya kazi gani hapo shirikani. Au wataalam wao hawana uwezo wa kuvumbua?
Tatizo ni nini?
tunazungumzia mafuta sio gesi mafuta ndio kila kitu mkuu. Swali ni kwanini Waganda ambao ni binadamu kama sisi kwanini wao wagundue mafuta alafu sisi tushindwe kugundua mafuta? Tatizo liko wapi. Tatizo lipo kwenye akili zetu tushell, equinor, pavilion, exonmobil, tpdc wanataka kuingia kwenye development stage kule mtwara yaani watengeneze LNG plant. yaani kama ingekuwa kwenye mafuta ndio tungesema wanataka kujenga bomba sasa. hii LNG plant itagarimu dola 30 bilioni. mazungumzo yanaendelea na site ishapatikana inaitwa likong'o.
Hilo ndio tatizo, wanasoma ili wafanye mitihani wafauru baada ya hapo wanaajiriwa wanakaa ofisini na kuota vitambiTatizo wasomi wetu wanasoma kwa kukariri tofauti na 'binadamu' wanasoma na kuelewa
Tatizo sio pesa mkuu, kama tatizo ni pesa kwanini waganda maskini kama sisi wagundue, hata kama rigs zinakodiwa, swali ni kwanini waganda wagundue alafu sisi tushindwe?wakuu msilaumu TPDC. Kwanza kabisa utafiti-exploration huwa kuna kampuni special huwa zinafanya hizo kazi, hata hizi kampuni kama shell, total huwa wana subcontract when it comes to exploration. kuna zile rigs ambazo zinachimba exploration well kwa siku moja kukaa baharini ni milion 100 ya kibongo ni inatakiwa ikae wiki mpaka wiki 2. hapo hujaingia kwenye development stage- total ndio wapo kwenye hii stage watajenga bomba kutoka ug mpaka tz kwa dola 3.5 bilioni. hapo hawajaanza production. shell mpaka sasa kule mtwara washatumia dola bil 2 kwenye exploration. sasa tpdc ingeweza?
Ondoa haya mawazo mkuu, kwanini waganda wao wavumbue?Hata gas ya Tanzania makapuni ya nje ndio yaliigundua ikiwemo Total.
Utafiti na uchimbaji wa mafuta ni gharama kubwa sana.
Haya mawazo ya kisiasa kabisa haya.Labda kuna msaada watakua waliandika proposal au mkataba flani.
Sisi tuliamua kuwakodisha makampuni ya nje hatukutaka kurisk kodi za walala hoi.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mishahara inaenda bure,wakihojiwa visingizio vingi na ngonjera zisizoishandio hapo tangu mwaka 1973 wanatafuta mafuta na hawapati hawaoni aibu. Bora wabadirishe jina la shirika
Wafute jina la Petroleum, waweke natural gas[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mishahara inaenda bure,wakihojiwa visingizio vingi na ngonjera zisizoisha
wakuu msilaumu TPDC. Kwanza kabisa utafiti-exploration huwa kuna kampuni special huwa zinafanya hizo kazi, hata hizi kampuni kama shell, total huwa wana subcontract when it comes to exploration. kuna zile rigs ambazo zinachimba exploration well kwa siku moja kukaa baharini ni milion 100 ya kibongo ni inatakiwa ikae wiki mpaka wiki 2. hapo hujaingia kwenye development stage- total ndio wapo kwenye hii stage watajenga bomba kutoka ug mpaka tz kwa dola 3.5 bilioni. hapo hawajaanza production. shell mpaka sasa kule mtwara washatumia dola bil 2 kwenye exploration. sasa tpdc ingeweza?
Waganda pia makampuni ya nje ndio yaliyogundua na sio waganda wenyewe.Ondoa haya mawazo mkuu, kwanini waganda wao wavumbue?
Hilo shirika lilianzishwa na lipo kisiasa.tunazungumzia mafuta sio gesi mafuta ndio kila kitu mkuu. Swali ni kwanini Waganda ambao ni binadamu kama sisi kwanini wao wagundue mafuta alafu sisi tushindwe kugundua mafuta? Tatizo liko wapi. Tatizo lipo kwenye akili zetu tu
Mainjia wa Tanesco Wamesoma kwa kukariri? Marubani wa ATCL wamesoma kwa kukariri?Tatizo wasomi wetu wanasoma kwa kukariri tofauti na 'binadamu' wanasoma na kuelewa
Wameshindwaje kuyatumia hayo ya nje?Waganda pia makampuni ya nje ndio yaliyogundua na sio waganda wenyewe.
unaniuliza swali la ambalo lipo chini ya kiwango cha mada yetu mkuu. Naomba tuulizane maswali yenye hoja za msingi. Hilo swali tuwaulize form one, au Google hapo. Tuulizane maswali yenye tija kwa taifa letu. Tuache utotokwanza unaweza kutofautisha au kufananisha
petroleum na Gas?
je ni sawa au sio sawa??
Tuanzie hapo
Waganda pia makampuni ya nje ndio yaliyogundua na sio waganda wenyewe.