EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,086
- Thread starter
-
- #41
Siku ya hotuba ya Mseveni, alikwambia walio gundua mafuta ni Waganda watalaam wa Ndani, naomba uelewe hoja hii. Kwani kugundua mafuta mpaka utumie mtalaam wa nje mkuu. Waganda ndio walio gundua hizo kampuni zilikuja baadaye.Jaribuni kuwatafuta Tullow Oil, hawa ndo walifanya kazi ya mafuta na Gesi kule Uganda. Hawa Tullow oil si Waganda.
sasa kwanini washindwe kuvumbua mafuta na huo utaalam wao. Wameanza kutafuta mafuta 1973 mpaka Leo hawaja yapata huo ndio utaalam ganiNiliwahi kufanya kazi hapo,wataalam na wasomi waliosoma Vyuo mbalimbali Ulaya wapo wa kutosha
elimu zao hazijatumika popote wanakaa ofisini tu hamna wanalo lifanya pale. Wala hawana mikakati yoyote ya kutafuta mafuta. Wanaota tu vitambiBadala kukaa nakupanga wafanye nini, humo itakuwa nikupigana juju na kila mmoja anataka kuwa boss badala yakutumia elimu zao mpaka wanazeeka
Siku ya hotuba ya Mseveni uliwekuwepo, alikwambia walio gundua mafuta ni Waganda watalaam wa Ndani, naomba uelewe hoja hii. Kwani kugundua mafuta mpaka utumie mtalaam wa nje mkuu. Waganda ndio walio gundua hizo kampuni zilikuja baadaye.
Kugundua mafuta, ni kazi ndogo ukiwa na watalaam wako, kwa umri wa kampuni hiyo ilitakiwa iwe na uwezo wa kufanya uvumbuzi, kampuni imelala. Yamekuja makampuni mbalimbali yamewekeza na kuwapa pesa inamaana mpaka sasa wamekosa mtaji wa kuchukua hata data za miamba chini ya ardhi na kuanza kuzichambua. Shida iko kwenye akili mkuu sio pesa, pesa yenyewe ipo Ndani ya a
sasa kwanini washindwe kuvumbua mafuta na huo utaalam wao. Wameanza kutafuta mafuta 1973 mpaka Leo hawaja yapata huo ndio utaalam gani
Ni kweli kabisa mafuta hayapo kila nchi, Ila kwa geology ya Afrika Mashariki ilivyo Mafuta hayawezi kukosa hata maramoja.Aliyekwambia mafuta yapo kila nchi/sehemu ni nani?
waliongundua mafuta uganda ni kampuni ya uingereza inaitwa tullow. hii kampuni ilitaka kutafuta nafuta ghana wakanyimwa leseni. wakasema basi ngoja tuende uganda. watu wakawacheka sana na kuwaambia wanaenda kupoteza pesa na mda. wakaenda uganda nakufocus kwenye rift system -bonde la ufa na hatimae wakapata mafuta. tullow ndio wakaja kuuza kwa Totaltunazungumzia mafuta sio gesi mafuta ndio kila kitu mkuu. Swali ni kwanini Waganda ambao ni binadamu kama sisi kwanini wao wagundue mafuta alafu sisi tushindwe kugundua mafuta? Tatizo liko wapi. Tatizo lipo kwenye akili zetu tu
sio uganda tu hata kenya pia. hata hapa pia tafiti zinaendelea kwenye maeneo ya bonde la ufa. maeneo kama kilosa, kilombero, lake eyasi, lake rukwa. uganda ndio walianza nasisi huku ndio tumeanzaTatizo sio pesa mkuu, kama tatizo ni pesa kwanini waganda maskini kama sisi wagundue, hata kama rigs zinakodiwa, swali ni kwanini waganda wagundue alafu sisi tushindwe?
NDIO KUBWA LAO JIWEMainjia wa Tanesco Wamesoma kwa kukariri? Marubani wa ATCL wamesoma kwa kukariri?
Walikujengea nyumba yako walisoma kwa kukariri?
Madaktari wamesoma Kwa kukariri? Au unaongelea fani gani?
Taaluma ya mafuta haihitaji ujanja ujanja kwenye kusoma. Kwani itakuumbua kama hivi inavyo waumbua TPDC.NDIO KUBWA LAO JIWE
Kama wamekosa si waseme shirika lifutwe...maana tunalipa watumishi hewa sasa.Aliyekwambia mafuta yapo kila nchi/sehemu ni nani?
gesi si ipo mkuuKama wamekosa si waseme shirika lifutwe...maana tunalipa watumishi hewa sasa.
na watu walimuona Muhongo kama vile anawabania vile kumbe ndio uhalisia wenyeweIle kitu nakumbuka waziri nani yule aliwaambia wawekezaji wa Tanzani, kuwekeza kwenye mafuta sio kama kuuza juice.
Mishahara yao hutokea wapi?
gesi wewe umewai itumia? mkuugesi si ipo mkuu
Wanaota vitambi tu, hawana lolote wanalofanya, wanakariri presentation hakuna chochote wanacho kielewa.Wako ofisini wanacheza candy crash
Trust wafanyakazi wa serikalini na Taasisi zake hawana kazi nyingi sana
Mfano Leo tu nimetoka ofisi moja ya serikali Ni kubwa tu nimekutwa soga zinaendelea
Ndio hivyo walishachoka wanasubiri kustafu, hakuna operation zozote wanazofanya.Kama wamekosa si waseme shirika lifutwe...maana tunalipa watumishi hewa sasa.
Gesi ni kazi kuitumia kuliko mafuta.gesi si ipo mkuu
Neno petroleum lenyewe limetokana na maneno mawili ya kilatinikwanza unaweza kutofautisha au kufananisha
petroleum na Gas?
je ni sawa au sio sawa??
Tuanzie hapo