JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,556
- 18,428
Hii serikali inachojua ni uteuzi na kuunda taasisi za kiutawala tu,Habari za Leo wakuu,
Mimi kama mtanzania naumia sana juu ya taifa letu kuto kuwa na mafuta wakati jirani zetu wa Uganda wamevumbua.
Nilimsikiliza kwa umakini sana mzee Mseveni siku ile anahutubia kwenye uwanja mpya wa ndege chato. Na nilimwelewa sana yule mzee kuhusu historia ya kutafuta mafuta Uganda. Historia inavutia sana.
Shirika letu la TPDC tangu mwaka 1973 mpaka leo hii 2020 ni miaka 47 halijavumbua mafuta.
Wanafanya kazi gani hapo shirikani. Au wataalam wao hawana uwezo wa kuvumbua?
Tatizo ni nini?
Hata kama wakileta sababu za kwamba kufanya utafiti ni gharama, kwanini Waganda ambao ni binadamu wenye akili kama za kwetu wao wavumbue? Kwani wao waganda hizo gharama za kuvumbua walikuwa wanazipata wapi?
Lazima kuna shida mahali, kichwani, kichwani. Mafuta yanapatikana kwenye akili. "The oil is within your mind. If you don't get the oil it means your knowledge is not enough"
Mafuta yanapatikana ndani ya akili yako ukiona hujayavumbua maana yake ni kwamba akili yako haitoshi kuyavumbua. Umekosa maarifa ya kuyavumbua. Inabidi uyatafute maarifa ya kuyavumbua. Inabidi uongeze maarifa ya kuyavumbua.
Tunapata ukakasi hata kutaja jina la Shirika. Tanzania Petroleum Development Corporation. Mtu anakuuliza mna mafuta? unajibu kwa unyonge tuna gesi. Kama hawawezi kugundua mafuta wabadirishe jina liwe "Tanzania Natural Gas Development Corporation"
Mkuu jaribu kuzungumzia kwanini TPDC wameshindwa kugundua mafuta? Hili ndio swala linahitaji utatuzi wa kina. Ni miaka mingi imepita hawajavumbua mafuta tangu shirika lianzishwe. Tatizo liko wapi?Hii serikali inachojua ni uteuzi na kuunda taasisi za kiutawala tu,
Kuna sumatra,Kuna LATRA,Kuna Tarura&Sumatra,Kuna TBS,Kuna DFD,Kuna TARIRI(watafiti wa mifugo)harafu Kuna wakala wa mbegu,TARI,)Kuna NHC,harafu Kuna TBA,wote wanajenga nyumba.
Kuna TPDC harafu Kuna state oil,maataasisi Mengi yanayofsnya kazi moja,hapa ni kuongeza ukiritimba tu,serikali haitakiwi kujenga nyumba,iwezeshe sekta binafsi ifanye,
Kuna haja gani ya kuwa na wizara nyingi,26,maji,kilimo,mifugo,ilibidi iwe wizara moja.
Mkuu kwanini ulikimbia asa?Niliwahi kufanya kazi hapo,wataalam na wasomi waliosoma Vyuo mbalimbali Ulaya wapo wa kutosha
Hata haha Marino ya dhahabu, hakuna geologist au mining engineer kutoka GST au wizarani aliyegundua, zaidi ya wananzengo wenyewe, fuatilia historia ya migodi yote mikubwa.Habari za Leo wakuu,
Mimi kama mtanzania naumia sana juu ya taifa letu kuto kuwa na mafuta wakati jirani zetu wa Uganda wamevumbua.
Nilimsikiliza kwa umakini sana mzee Mseveni siku ile anahutubia kwenye uwanja mpya wa ndege chato. Na nilimwelewa sana yule mzee kuhusu historia ya kutafuta mafuta Uganda. Historia inavutia sana.
Shirika letu la TPDC tangu mwaka 1973 mpaka leo hii 2020 ni miaka 47 halijavumbua mafuta.
Wanafanya kazi gani hapo shirikani. Au wataalam wao hawana uwezo wa kuvumbua?
Tatizo ni nini?
Hata kama wakileta sababu za kwamba kufanya utafiti ni gharama, kwanini Waganda ambao ni binadamu wenye akili kama za kwetu wao wavumbue? Kwani wao waganda hizo gharama za kuvumbua walikuwa wanazipata wapi?
Lazima kuna shida mahali, kichwani, kichwani. Mafuta yanapatikana kwenye akili. "The oil is within your mind. If you don't get the oil it means your knowledge is not enough"
Mafuta yanapatikana ndani ya akili yako ukiona hujayavumbua maana yake ni kwamba akili yako haitoshi kuyavumbua. Umekosa maarifa ya kuyavumbua. Inabidi uyatafute maarifa ya kuyavumbua. Inabidi uongeze maarifa ya kuyavumbua.
Tunapata ukakasi hata kutaja jina la Shirika. Tanzania Petroleum Development Corporation. Mtu anakuuliza mna mafuta? unajibu kwa unyonge tuna gesi. Kama hawawezi kugundua mafuta wabadirishe jina liwe "Tanzania Natural Gas Development Corporation"
Hata gas ya Tanzania makapuni ya nje ndio yaliigundua ikiwemo Total.
Utafiti na uchimbaji wa mafuta ni gharama kubwa sana.
tunazungumzia mafuta sio gesi mafuta ndio kila kitu mkuu. Swali ni kwanini Waganda ambao ni binadamu kama sisi kwanini wao wagundue mafuta alafu sisi tushindwe kugundua mafuta? Tatizo liko wapi. Tatizo lipo kwenye akili zetu tu
asilimia kubwa ya umeme unaotumia unatokana na gesigesi wewe umewai itumia? mkuu
Geology ya East Africa inafanana kwenye swala la petroleum system.Mkuu swali lako ni sawa na kuuliza kwa nin Tanzania tuna almasi na tanzanite na Uganda/Kenya hawana, kwa hiyo tuseme hawana akili au?. Hili sio suala sio la akili ni suala la miamba ya sehemu.
Hilo ni kweli kabisa mkuu hilo sipingani nawewe kabisa,asilimia kubwa ya umeme unaotumia unatokana na gesi
driving force ya namna ganiDriving force hakuna watu wanaishi tu.