PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 722
- 2,225
- Thread starter
-
- #21
Dah! eti tunaanza kushangilia gori la 3? Ila Ahmed ni comedian too muchIfike muda watu wawe serious taasisi haiwezi kukupa task ufanye baadae unarudi na majibu eti flani nae kashindwa hayo yanatuhusu nini sisi? Ilikua tuta anza kushangilia goli la 3 baadae ikawa tutaenda kuwashangaza Cairo sasa hivi imekua ni ngumu kwenda nusu fainali, pumbafu kabisa
Tuwapige 7G awamu hii waujue ubora wetu,na tuwahakikishie kama sii hujuma kwa goli letu wananchi haooofainaliπ€£Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora.
SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana.
SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu.
Je ubora wa SIMBA ni upi?
Je, nini kitaikwamisha Young Africans SC kuifunga SIMBA SC gori 5 mechi ijayo ya NBCPL?
Timu imejaa mazuzu Yl CEO ukimuona kama mtu wa maana akiongea ndio unajua ni empty set anatuletea WhatsApp channel na kibegi eti ni mafanikio, Mangungu hakuna kitu,, Try again bingwa wa uongoDah! eti tunaanza kushangilia gori la 3? Ila Ahmed ni comedian too much
Pia shida ni semaji la kolo kuhamishia uwanja wa mpira mdomoni,bado kola wanatoa mshahara kulilipa semaji chezaji mpira mdomoniβΉοΈββοΈβΉοΈββοΈβΉοΈββοΈMashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora.
SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana.
SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu.
Je ubora wa SIMBA ni upi?
Je, nini kitaikwamisha Young Africans SC kuifunga SIMBA SC gori 5 mechi ijayo ya NBCPL?
Inabidi ieleweke kama kweli MO Alisha inunua SIMBA SC ili ijulikane ndo tatizo au!!Timu imejaa mazuzu Yl CEO ukimuona kama mtu wa maana akiongea ndio unajua ni empty set anatuletea WhatsApp channel na kibegi eti ni mafanikio, Mangungu hakuna kitu,, Try again bingwa wa uongo
Huyooo kaanza! Kumbe watu tunatoka malicious!"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Happy school fees week .Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora.
SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana.
SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu.
Je ubora wa SIMBA ni upi?
Je, nini kitaikwamisha Young Africans SC kuifunga SIMBA SC gori 5 mechi ijayo ya NBCPL?
UTOPOLO hajafungwa nje ndani wameingia nusu FAINALI????Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora.
SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana.
SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu.
Je ubora wa SIMBA ni upi?
Je, nini kitaikwamisha Young Africans SC kuifunga SIMBA SC gori 5 mechi ijayo ya NBCPL?
Mbona huwa simsikii?? Au huwa kuna sehemu mnasikilizia...au huwa anaulizwa ndo anajibu au huwa anabwabwaja tuu..maana katk watu ambao page zao za instagram hazina mipasho mipasho ni Ahmed Ally..ukienda kwa ali kamweeee amejaza page kuisema Simba..ukienda kwa kalikonji unakuta hivyo hivyo..Hii timu inanikera sana hasa msemaji wetu yaani yupo busy na mambo yasiyo mhusu hata kama ni utani concentrate na mambo yako kwanza utani ni ziada
Huyu Hana tofauti na ,' JECHA'.πanaitwa ndugu D.Beida a.k.a Kivuruge,,π€£π
View attachment 2958037
JIFARIJI!Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora.
SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana.
SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu.
Je ubora wa SIMBA ni upi?
Je, nini kitaikwamisha Young Africans SC kuifunga SIMBA SC gori 5 mechi ijayo ya NBCPL?
Timu mbovu inacheza robo fainali CL je hizo timu bora/nzuri ziko wapi?na hawataki kukubali ukweli..π
Tena kivuruge haswaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anaitwa ndugu D.Beida a.k.a Kivuruge,,[emoji1787][emoji23]
View attachment 2958037
Gamondi kawawahisha wapiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama vipi tumpe Mgunda timu ili atupeleke nusu fainali msimu ujao. Benchika anatuchelewesha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]majini yamedunda kwa wazulu, poleeeeeSimba haikustahili ata kuingia makundi, ni timu mbovu kupita kiasi, kilichowabeba ni kuroga mpaka vibuyu vimepasuka.