Ni kwanini SIMBA SC ndiyo timu pekee iliyofungwa Home and Away kwenye CCL 2023/2024 na pia ndo timu iliyofungwa magori mengi zaidi kwe michuano hii

Ifike muda watu wawe serious taasisi haiwezi kukupa task ufanye baadae unarudi na majibu eti flani nae kashindwa hayo yanatuhusu nini sisi? Ilikua tuta anza kushangilia goli la 3 baadae ikawa tutaenda kuwashangaza Cairo sasa hivi imekua ni ngumu kwenda nusu fainali, pumbafu kabisa
Dah! eti tunaanza kushangilia gori la 3? Ila Ahmed ni comedian too much
 
Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora.

SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana.

SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu.
Je ubora wa SIMBA ni upi?

Je, nini kitaikwamisha Young Africans SC kuifunga SIMBA SC gori 5 mechi ijayo ya NBCPL?
Tuwapige 7G awamu hii waujue ubora wetu,na tuwahakikishie kama sii hujuma kwa goli letu wananchi haooofainali🤣
 
Dah! eti tunaanza kushangilia gori la 3? Ila Ahmed ni comedian too much
Timu imejaa mazuzu Yl CEO ukimuona kama mtu wa maana akiongea ndio unajua ni empty set anatuletea WhatsApp channel na kibegi eti ni mafanikio, Mangungu hakuna kitu,, Try again bingwa wa uongo
 
Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora.

SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana.

SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu.
Je ubora wa SIMBA ni upi?

Je, nini kitaikwamisha Young Africans SC kuifunga SIMBA SC gori 5 mechi ijayo ya NBCPL?
Pia shida ni semaji la kolo kuhamishia uwanja wa mpira mdomoni,bado kola wanatoa mshahara kulilipa semaji chezaji mpira mdomoni⛹️‍♂️⛹️‍♂️⛹️‍♂️
 
Timu imejaa mazuzu Yl CEO ukimuona kama mtu wa maana akiongea ndio unajua ni empty set anatuletea WhatsApp channel na kibegi eti ni mafanikio, Mangungu hakuna kitu,, Try again bingwa wa uongo
Inabidi ieleweke kama kweli MO Alisha inunua SIMBA SC ili ijulikane ndo tatizo au!!
 
Ndio team inayoongoza kwa ball possession home and away. Pia imetengeneza nafasi nyingi sana ikashindwa kuzitumia.

Mo. Anatakiwa kufanya usajiri wa maana, aachane na mitumba.
 
Kama vipi tumpe Mgunda timu ili atupeleke nusu fainali msimu ujao. Benchika anatuchelewesha.
 
Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora.

SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana.

SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu.
Je ubora wa SIMBA ni upi?

Je, nini kitaikwamisha Young Africans SC kuifunga SIMBA SC gori 5 mechi ijayo ya NBCPL?
Happy school fees week .
 
Postini tena ile clip ya goal muendelee kujipa moyo. Umbwa nyie

Vipi ile barua yenu ya ovyo kwenda CAF imeshajibiwa na wanaume?
 
Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora.

SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana.

SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu.
Je ubora wa SIMBA ni upi?

Je, nini kitaikwamisha Young Africans SC kuifunga SIMBA SC gori 5 mechi ijayo ya NBCPL?
UTOPOLO hajafungwa nje ndani wameingia nusu FAINALI????
 
Hii timu inanikera sana hasa msemaji wetu yaani yupo busy na mambo yasiyo mhusu hata kama ni utani concentrate na mambo yako kwanza utani ni ziada
Mbona huwa simsikii?? Au huwa kuna sehemu mnasikilizia...au huwa anaulizwa ndo anajibu au huwa anabwabwaja tuu..maana katk watu ambao page zao za instagram hazina mipasho mipasho ni Ahmed Ally..ukienda kwa ali kamweeee amejaza page kuisema Simba..ukienda kwa kalikonji unakuta hivyo hivyo..
 
Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora.

SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana.

SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu.
Je ubora wa SIMBA ni upi?

Je, nini kitaikwamisha Young Africans SC kuifunga SIMBA SC gori 5 mechi ijayo ya NBCPL?
JIFARIJI!
 
Simba haikustahili ata kuingia makundi, ni timu mbovu kupita kiasi, kilichowabeba ni kuroga mpaka vibuyu vimepasuka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]majini yamedunda kwa wazulu, poleeeee
 
Hebu kalale wa yeboyebo. Simba ikifungwa hata 8-0 hatuhami.
 
Back
Top Bottom