PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 722
- 2,225
- Thread starter
- #21
Dah! eti tunaanza kushangilia gori la 3? Ila Ahmed ni comedian too muchIfike muda watu wawe serious taasisi haiwezi kukupa task ufanye baadae unarudi na majibu eti flani nae kashindwa hayo yanatuhusu nini sisi? Ilikua tuta anza kushangilia goli la 3 baadae ikawa tutaenda kuwashangaza Cairo sasa hivi imekua ni ngumu kwenda nusu fainali, pumbafu kabisa