Ni kwanini SIMBA SC ndiyo timu pekee iliyofungwa Home and Away kwenye CCL 2023/2024 na pia ndo timu iliyofungwa magori mengi zaidi kwe michuano hii

Mbona huwa simsikii?? Au huwa kuna sehemu mnasikilizia...au huwa anaulizwa ndo anajibu au huwa anabwabwaja tuu..maana katk watu ambao page zao za instagram hazina mipasho mipasho ni Ahmed Ally..ukienda kwa ali kamweeee amejaza page kuisema Simba..ukienda kwa kalikonji unakuta hivyo hivyo..
Labda hautilii mbona hio interview ipo viral sana
 
Mechi ijayo mkiingia na matokeo ya mechi iliyopita. Kitawakuta jambo.
Umesema ukweli, mechi ya mtani itakuwa kali maana makolo hawana cha kupoteza na morali itakuwa juu, watatafuta kuwapa mashabiki wao angalau furaha ya kuifunga Yanga, kinachotakiwa Yanga wacheze kama walivyocheza na Mamelodi kukaba njia zote na kupiga counter attacks tu otherwise pamoja na ubovu wao wanaweza kutufunga na hii itafanana na ile mechi walitufunga goli mbili moja la Kibu. Yanga wazingatie hilo!
 
Ndio team inayoongoza kwa ball possession home and away. Pia imetengeneza nafasi nyingi sana ikashindwa kuzitumia.

Mo. Anatakiwa kufanya usajiri wa maana, aachane na mitumba.
Mtu anaruka kama mbuzi,
 
Umesema ukweli, mechi ya mtani itakuwa kali maana makolo hawana cha kupoteza na morali itakuwa juu, watatafuta kuwapa mashabiki wao angalau furaha ya kuifunga Yanga, kinachotakiwa Yanga wacheze kama walivyocheza na Mamelodi kukaba njia zote na kupiga counter attacks tu otherwise pamoja na ubovu wao wanaweza kutufunga na hii itafanana na ile mechi walitufunga goli mbili moja la Kibu. Yanga wazingatie hilo!
Mimi natamani watupige kumi bila
 
Postini tena ile clip ya goal muendelee kujipa moyo. Umbwa nyie

Vipi ile barua yenu ya ovyo kwenda CAF imeshajibiwa na wanaume?
Kwani press release iliyotolewa leo asubuhi na CAF hukuiona? Angalia hiyo video chini uone maamuzi na watu walivyoshangilia maamuzi ya CAF
 
Mbona huwa simsikii?? Au huwa kuna sehemu mnasikilizia...au huwa anaulizwa ndo anajibu au huwa anabwabwaja tuu..maana katk watu ambao page zao za instagram hazina mipasho mipasho ni Ahmed Ally..ukienda kwa ali kamweeee amejaza page kuisema Simba..ukienda kwa kalikonji unakuta hivyo hivyo..
Uko serious dada unasema humsikii??
Akati Simba inamaliza game Misri Ahmed Ally interview nzima alizungumzia kuhusu Mamelody vs Yanga.
Tena akisema Mamelody ni timu isiyokua na uzoefu wa kwenda nusu fainali.
Huwenda unaziba masikio ila Ahmed Ally anashughulishwa sana na Yanga kuliko Ally Kamwe.
 
Na alisema kuwa kama akienda basi kwa kupitia vibonde kama akina Yanga. Sasa msemaji anashindwa kuvuta kumbukumbu kuwa Al Ahly alitolewa na Mamelodi kwa aggregate ya 5:1 je Al Ahly ni kibonde?
 
Postini tena ile clip ya goal muendelee kujipa moyo. Umbwa nyie

Vipi ile barua yenu ya ovyo kwenda CAF imeshajibiwa na wanaume?
Vipi yule bahili wenu wa hapo kolo,amekubali kutoa fungu msajili😄
 
Back
Top Bottom