bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Labda hautilii mbona hio interview ipo viral sanaMbona huwa simsikii?? Au huwa kuna sehemu mnasikilizia...au huwa anaulizwa ndo anajibu au huwa anabwabwaja tuu..maana katk watu ambao page zao za instagram hazina mipasho mipasho ni Ahmed Ally..ukienda kwa ali kamweeee amejaza page kuisema Simba..ukienda kwa kalikonji unakuta hivyo hivyo..