Ni kwanini soka la Tanzania limetawaliwa na Waislamu?

Ni kwanini soka la Tanzania limetawaliwa na Waislamu?

Status
Not open for further replies.

Realboynicky

Senior Member
Joined
Mar 31, 2023
Posts
156
Reaction score
296
Asilimia 90 ya viongozi kwenye mpira ni waislamu na hao wakristo watalaazimishwa kufuata tamadani za kiislamu. Na hata baadhi ya timu ili upate number ni lazima ubadili dini kwenda uislamu hata kwa siri. Selection ya wachezaji taifa stars imejaa udini.

Wachezaji wa kiislamu wanajazwa sana stars kuliko wakristo. Tukija mechi za kirafiki na kuweka kambi za pre season Mara nyingi tunapiga na timu za waarabu (waislamu) na kambi zinawekwa huko huko uarabuni.

Kuna siri gani kwenye hili maana binafsi naona sio fair kabisa kwani tu ni secular country. Ni nchi isiyo fungamana na dini yeyote.
 
Kwa wachezaji, mikoa ya pwani huwapa watoto muda mwingi wa kucheza. Huko uswahilini kuna viwanja vingi tu watoto wanacheza boli, na wana makocha wao.

Kila mtaa utakuta una timu, kuna ligi mbalimbali tofauti na mikoa mingine michezo hawaipi kipaombele.
 
Asilimia 90 ya viongozi kwenye mpira ni waislamu na hao wakristo watalaazimishwa kufuata tamadani za kiislamu. Na hata baadhi ya timu ili upate number ni lazima ubadili...
Ebu weka majina ya wakristo wanaofaa kucheza timu ya taifa wakaachwa wakachukuliwa waislam ambao si bora kuliko hao wakristo walioitwa sababu za dini yao.
 
Wao waislam Wana Muda wakutosha wanaowekeza kwenye michezo mfano ngumi,,,mpira WA miguu,, basket nk Sisi wakristo labda mikoa kama mbeya,,Moro ndio kuna muamko wa mpira na wakristo baadhi kushiriki...Na mikoa yenye washirika wengi wa michezo hapa tz ni mbeya,,moro,,kigoma,,tanga,,,dsm na zanj...Kwa hio tatizo liko kwa wakristo wenyewe kutokuwa na ari ya michezo kulinganisha na wenzetu Muslim.........
Kwenye kuongoza vyama vya michezo naona wachukua form wengi wanakuwa Muslim..... Christian ni mashabiki na wasindikizaji.....Japo Sasa baada ya ajira kuwa ngumu serikalini fursa zote zitatafutwa Kwa bidii...Maisha yameshabadilika Sana.
 
Asilimia 90 ya viongozi kwenye mpira ni waislamu na hao wakristo watalaazimishwa kufuata tamadani za kiislamu. Na hata baadhi ya timu ili upate number ni lazima ubadili dini kwenda uislamu hata kwa siri. Selection ya wachezaji taifa stars imejaa udini.

Wachezaji wa kiislamu wanajazwa sana stars kuliko wakristo. Tukija mechi za kirafiki na kuweka kambi za pre season Mara nyingi tunapiga na timu za waarabu (waislamu) na kambi zinawekwa huko huko uarabuni.

Kuna siri gani kwenye hili maana binafsi naona sio fair kabisa kwani tu ni secular country. Ni nchi isiyo fungamana na dini yeyote.
Clement mzinze alibadili Dini na kuwa muislamu ili apate namba Yanga.
 
Yanga na Simba ni timu za Dar es Salaam na ndio zimetawala mpira nchi hii.
Bila shaka "wazee wake" Mohamed Said ndio walikuwa hao hao wazee ya Simba na Yanga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom