Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Tukienda kwenye biashara ya Mafuta vituo vya Sheli 90% ni vya Waislam.Kuna shida gani kama waislamu ndio wanatawala? It is all about investment. Wewe kama umewekeza kwenye kuwa boss wa shirika la umma so be it.
Mkiamua kuwekeza watoto wawe wana michezo, fursa pia ipo. Tusibaguane kwa hoja zisizo na kicwa wala mguu
Makampuni ya usafirishaji abiria na mizigo ni wao wamedominate