LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
mjuba acha ujinga, pengo si kiongozi wa wakristo wote ni kiongozi wa wakatolikiWakristo mnapenda sana kujilizaliza, mwambie askofu Penggo aanzishe timu ya wakkristo watupu
Hayo mambo ya msingi hayana masilai mazuri ukilinganisha na mpira, au hujui ilo?? Mtumishi wa kawaida wa serikalini anamfikia mshahara mchezaji wa simba au yangu,au Azam? Dokta tu mshahara milioni na nusu,sijui hao walimu