Realboynicky
Senior Member
- Mar 31, 2023
- 156
- 296
Sio soka tu hata Matajiri Top 10 wote Wa hapa Tanzania 8/10 au Kama sio wote ni Kobazi ...
Nafikiri utawala wa sultan wakawahi kufanya Investment, History .
Hapo kwakweli sijui mkuu.Mbona wanadai wanaonewa kila siku wakati matajiri, viongozi, wasanii na wanamichezo wengi ni wao?
Ebu weka majina ya wakristo wanaofaa kucheza timu ya taifa wakaachwa wakachukuliwa waislam ambao si bora kuliko hao wakristo walioitwa sababu za dini yao.Asilimia 90 ya viongozi kwenye mpira ni waislamu na hao wakristo watalaazimishwa kufuata tamadani za kiislamu. Na hata baadhi ya timu ili upate number ni lazima ubadili...
Clement mzinze alibadili Dini na kuwa muislamu ili apate namba Yanga.Asilimia 90 ya viongozi kwenye mpira ni waislamu na hao wakristo watalaazimishwa kufuata tamadani za kiislamu. Na hata baadhi ya timu ili upate number ni lazima ubadili dini kwenda uislamu hata kwa siri. Selection ya wachezaji taifa stars imejaa udini.
Wachezaji wa kiislamu wanajazwa sana stars kuliko wakristo. Tukija mechi za kirafiki na kuweka kambi za pre season Mara nyingi tunapiga na timu za waarabu (waislamu) na kambi zinawekwa huko huko uarabuni.
Kuna siri gani kwenye hili maana binafsi naona sio fair kabisa kwani tu ni secular country. Ni nchi isiyo fungamana na dini yeyote.
Sio kweli aliendeshwa na mapenzi tuClement mzinze alibadili Dini na kuwa muislamu ili apate namba Yanga.