"Hakika mtafuata njia za wale waliokuwa kabla yenu shubiri kwa shubiri na dhiraa kwa dhiraa, hata kama wakiingia katika shimo la kenge, mtawafuata."
Mambo gani hayo ya msingi? Kwahiyo mpira sio mambo ya msingi?Wakristo Tanzania wana focus na mambo ya msingi ila kwenye mambo ya mpira hawapo sana
Hii siri hataisema popote ila huo ndo ukwelClement mzinze alibadili Dini na kuwa muislamu ili apate namba Yanga.
Duu sasa huku tuliekuwa fikia kam taifa inahitajika maombi aisee kila sehemu nchi kumeharibika! Udini,udini na m udiniAsilimia 90 ya viongozi kwenye mpira ni waislamu na hao wakristo watalaazimishwa kufuata tamadani za kiislamu. Na hata baadhi ya timu ili upate number ni lazima ubadili dini kwenda uislamu hata kwa siri. Selection ya wachezaji taifa stars imejaa udini.
Wachezaji wa kiislamu wanajazwa sana stars kuliko wakristo. Tukija mechi za kirafiki na kuweka kambi za pre season Mara nyingi tunapiga na timu za waarabu (waislamu) na kambi zinawekwa huko huko uarabuni.
Kuna siri gani kwenye hili maana binafsi naona sio fair kabisa kwani tu ni secular country. Ni nchi isiyo fungamana na dini yeyote.
Sio kwa sababu ya mwanamke??Clement mzinze alibadili Dini na kuwa muislamu ili apate namba Yanga.
? Kwasababu bakhresa ni bilionea baba yako ni mchimba chumvi huko maranguNimecheka ila mleta mada ana hoja.. sema ni kama ulaya tu waafrica wanapewa hela na umaarufu ila elimu wanapewa Wazungu..
Wakristo Tanzania wana focus na mambo ya msingi ila kwenye mambo ya mpira hawapo sana
Inawezekana mwanamke, wakiristo wengi wanasilimu kwa sababu ya wanaweka wa kiislamu.wanakimbia viminiSio kwa sababu ya mwanamke??
Hiyo siri hataisema popote ila wewe umeijua tayari hiyo siri!!Hii siri hataisema popote ila huo ndo ukwel
Sio kweli kwamba waislamu wengi tu wanapesa. Ni wachache tu hao top ten ukitoa hapo waliobaki wenye uchumi mzuri ni wakristo.Kuna thread zinachekesha .
Uwanjan hawasomi Qur'an wala Injili ,, Uwanjan wanasukuma gozi la Ng'ombe tena hadharani wote twaona.
Pili mpira ni pesa na pesa Zaid ya pesa ulizonazo ,, na wenye pesa hizo hapa Tanzania ni wenye kuamini katika uislam.
mi mwenyewe hapa nimezungukwa na vimwana wa kiislam, sijui itakuwaje wakinishawishi nifuate dini yao, tunapendana sana. Kuhusu timu ya taifa ilikuaje waislam wakatokwa povu jingi baada ya mbunifu kutoa jezi yenye michirizi kama msalaba wakati wa maandalizi kwenda afcon ya misri mpaka jezi ile ikasitishwa kuvaliwa?Inawezekana mwanamke, wakiristo wengi wanasilimu kwa sababu ya wanaweka wa kiislamu.wanakimbia vimini
Yanga na Simba ni timu za Dar es Salaam na ndio zimetawala mpira nchi hii.
Bila shaka "wazee wake" Mohamed Said ndio walikuwa hao hao wazee ya Simba na Yanga.
Asilimia 90 ya viongozi kwenye mpira ni waislamu na hao wakristo watalaazimishwa kufuata tamadani za kiislamu. Na hata baadhi ya timu ili upate number ni lazima ubadili dini kwenda uislamu hata kwa siri. Selection ya wachezaji taifa stars imejaa udini.
Wachezaji wa kiislamu wanajazwa sana stars kuliko wakristo. Tukija mechi za kirafiki na kuweka kambi za pre season Mara nyingi tunapiga na timu za waarabu (waislamu) na kambi zinawekwa huko huko uarabuni.
Kuna siri gani kwenye hili maana binafsi naona sio fair kabisa kwani tu ni secular country. Ni nchi isiyo fungamana na dini yeyote.
Ndio waliowengi kila kona.Asilimia 90 ya viongozi kwenye mpira ni waislamu na hao wakristo watalaazimishwa kufuata tamadani za kiislamu. Na hata baadhi ya timu ili upate number ni lazima ubadili dini kwenda uislamu hata kwa siri. Selection ya wachezaji taifa stars imejaa udini.