Ni kwanini soka la Tanzania limetawaliwa na Waislamu?

Status
Not open for further replies.
Kuna shida gani kama waislamu ndio wanatawala? It is all about investment. Wewe kama umewekeza kwenye kuwa boss wa shirika la umma so be it.
Mkiamua kuwekeza watoto wawe wana michezo, fursa pia ipo. Tusibaguane kwa hoja zisizo na kicwa wala mguu
Tukienda kwenye biashara ya Mafuta vituo vya Sheli 90% ni vya Waislam.

Makampuni ya usafirishaji abiria na mizigo ni wao wamedominate
 
Hii ni dalili ya kufirisika kimawazo!
Ukimaliza la udini utaenda kuulizia Wachagga mbona hawapangwi!

Kimsingi unapaswa kuhoji kwenye sekta ya Umma na si sekta binafsi!

Mbona hauhoji waajiriwa wa Umma 80% ni wa dini Moja?
Hata Mziki Bongo Fleva ni Waislam tuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Na hauwezi kupata nyazifa kwenye hizi timu mbili kubwa hapa nchini kama siyo muislam.
Angalia hata misaada wanayotoa kwenye vituo vya kulelea yatima ni Islam. Ila muhimu zaidi kukumbuka ni kuwa waasisi wa hivi vilabu vikubwa ni Islam. Waktisto tukae kwa kulia. Tubaki na shule zetu za seminar
 
Mm nadhani kuna haja ya serikali kuanzisha msako mkali dhidi ya waanzisha mijadala ya kidini kwenye mitandao ya kijamii hasa hawa warokole uchwara walio jazana Jf maana ime kuwa to much.

Ya kwamba sasa hivi wachezaji waanze kuitwa timu ya taifa kwa kuangalia dini zao na sio viwango vyao?
 
Hata kwenye kutafuta uhuru waislam walikua wengi,ndiyo watu wa mijini, wengine wameletwa mjini na shule,bila juhudi za mwenyeheri kila sehemu waislam wangekua wengi
 
Mbona wanadai wanaonewa kila siku wakati matajiri, viongozi, wasanii na wanamichezo wengi ni wao?
Makabachori ila Wabantu wanaofuata desturi na tamaduni ya kiislam hali ni tofauti kabisa
 
Sidhani kama kuna ukweli hapa
Ni mapenzi ya vijana tu kupenda michezo na sana
Ina maana waimbaji nao wa kiislam wanahonga kuimba au ni mahaba yao tu na kujikita kwenye sanaa?

Ni maadili na upendo pia matabaka ya watu tu
Mbona na wakristo wamo wengi tu
Unaangalia kwa jicho la chuki tu
 
Nimecheka ila mleta mada ana hoja.. sema ni kama ulaya tu waafrica wanapewa hela na umaarufu ila elimu wanapewa Wazungu..

Wakristo Tanzania wana focus na mambo ya msingi ila kwenye mambo ya mpira hawapo sana
Mpira sio jambo la msingi?,unadhani matajiri wa kiislama wanaoifadhili simba,yanga ama azam,.......wanatoa sadaka za kigango cha parokia kuendesha timu?πŸ˜ƒπŸ˜„
Ama unadhai wakina Mbwana samatta wanalipwa na Jimbo kuu?,sadaka za waumini?πŸ˜†πŸ˜…πŸ€£
 
Kitu chochote kinachofanyika Dar,ama Pwani lazima kifanywe na wingi wa waislam.
Unajua hata wapigania uhuru walikua 95% waislam.
Wamission walikua wanawatunza wakoloni ili waendelee kututawala,........
Uislam ni alama ya uhuru,na uhuru ndio utajiri
Iwe biashara,michezo,mpira,mziki,as long as long hilo jambo chimbuko lake no eastern zone........tarajia waislam kua ndio waanzalishi,......TAA,ilizaa TANU,ikazaa CCM..............TAA=ni chama kilichoanzishwa na waislam 100%......yaani huwezi itenganisha hoi nchi na uislam
 
Sema ni waarabu na wahind. Humpati muislamu mswahili
Usilam hauna ethnicity,......Mohamed Dewji ni mtanzania na ni muislam na ni tajiri.......hata Bukoba Ina watu weusi sawa na Zanzibar na wasomi sanaaa πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜‚πŸ€£ukicompare na zanzibari........ila uchumi wa Zanzibar ni mara 1000 ya uchumi wa BukobaπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜†
 
Kivipi nawakati nyerere ndo alipewa uhuru
 
Kivipi nawakati nyerere ndo alipewa uhuru
Ukishajua nani aliyemuachisha KAZI Nyerere St Joseph Pugu na kumlipa mshahara mara 2 ya ualimu,ndio utajua wanani ni sponsor wa hii nchi?
Unajua kadi tano za kwanza CCM,4 za waislam?
Unajua Kwa Nini pale mjini kati Kuna mtaa wa Azizi Ally?,......unawajua wakina Dosa Azizi.......mji una wenyewe huu mkuu?
Ushasikia raisi anaongea na wazee wa Iringa?πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜‚
Kwa nini aonge na wazee wa Dar es salaam TU?
 
Wakristo mnapenda sana kujilizaliza, mwambie askofu Penggo aanzishe timu ya wakkristo watupu
Nimecheka ila mleta mada ana hoja.. sema ni kama ulaya tu waafrica wanapewa hela na umaarufu ila elimu wanapewa Wazungu..

Wakristo Tanzania wana focus na mambo ya msingi ila kwenye mambo ya mpira hawapo sana
Hayo mambo ya msingi hayana masilai mazuri ukilinganisha na mpira, au hujui ilo?? Mtumishi wa kawaida wa serikalini anamfikia mshahara mchezaji wa simba au yangu,au Azam? Dokta tu mshahara milioni na nusu,sijui hao walimu
 
Kwanini asiende kutafuta uhuru yeye akawa anaangaika na nyerere
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…