Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wapo Mbona wengi tu.Kwenye List mashuhuri za Mawakili Mahiri hapa Tanzania ukianza wale wa zamani utasikia ni akina Endrew Chenge, Akina Mkono, Dr Harrison Mwakyembe na akina Prof Kabudi.
Ukija kwa vizazi vya hivi karibuni list ni ndefu mfano
Peter Kibatala
John Mallya
Dickson Matata
Tundu Lissu
Peter Madereka
Kajujumbele Mwabukusi
Bila kujali kama Orodha yangu ni sahihi kiasi gani je ni Kwanini hakuna Wanawake?
Okay. Thank you, Maria Sarungi ana professional gani?Wapo Mbona wengi tu.
To List few
1.Fatma karume
2.Anna henga
3.Dada angu
4
5
6
7
8
MmhWengi wao wapo serikalini kutetea uovu wa serikali ndiyo maana siyo maarufu na hawaonekani
Hahhaa.....we jamaa umenichekesha sanaWengi walikua/wapo SAUT/UDSM ikifika usiku utawakuta wapo barabarani wanatafuta hela ya kununua iPhone mpya unategemea nini?
Mahiri na mashuhuriMtoe Peter na kabudi kwenye wakili mahiri, au unamaanisha mashuhuri?
Tsehai received her degree in Humanities in 1999 from the University of Eötvös Loránd, Hungary.Okay. Thank you, Maria Sarungi ana professional gani?
Mawakili wengi mahiri hawajulikani, uliowataja wana kesi za kisiasa na kujihusisha na media.Mahiri na mashuhuri
Wewe unasema wanajulikana kwa kesi za kisiasa, hao mahiri ambao sio kesi za kisiasa sasa tutawajuaje?Mawakili wengi mahiri hawajulikani, uliowataja wana kesi za kisiasa na kujihusisha na media.
P.s. Kabudi hajawahi endesha kesi hata moja huo umahiri atautoa wapi, kwa kifupi hajui mlango wa mahakama ulipo. Yule ni prof mahiri
Thank youTsehai received her degree in Humanities in 1999 from the University of Eötvös Loránd, Hungary.
Source; Wikipedia
Wanawake hawapigi kelele wanamaliza hukohuko mahakamaniKwenye List mashuhuri za Mawakili Mahiri hapa Tanzania ukianza wale wa zamani utasikia ni akina Endrew Chenge, Akina Mkono, Dr Harrison Mwakyembe na akina Prof Kabudi.
Ukija kwa vizazi vya hivi karibuni list ni ndefu mfano
Peter Kibatala
John Mallya
Dickson Matata
Tundu Lissu
Peter Madereka
Kajujumbele Mwabukusi
Bila kujali kama Orodha yangu ni sahihi kiasi gani je ni Kwanini hakuna Wanawake?
Wanajulikana kwenye industry mkuu, makampuni makubwa yote yana mawakili na huwezi kujua majina yao lakini ni watu mahiri kweli kweli.Wewe unasema wanajulikana kwa kesi za kisiasa, hao mahiri ambao sio kesi za kisiasa sasa tutawajuaje?
Umahiri maana yake ufanye kitu cheny Impact na hiyo impact ionekane
Wapo Mbona wengi tu.
To List few
1.Fatma karume
2.Anna henga
3.Dada angu toka ni toke
4
5
6
7
8 4. Dr. Tulia Ackson
Mamaako anatoka Usaha au damu pia?Mtu ambae Kila mwisho wa mwezi anatoka damu.. anatolea wapi umahiri 🥴🥴🥴
Duuh jamani sitaki matusi kwenye uzi wanguMamaako anatoka Usaha au damu pia?
UsahaMamaako anatoka Usaha au damu pia?