Ni Kwanini Tanzania hatusikii Wanawake Mawakili Mahiri? Je Vyuo vinafundisha wanaume tu?

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Kwenye List mashuhuri za Mawakili Mahiri hapa Tanzania ukianza wale wa zamani utasikia ni akina Endrew Chenge, Akina Mkono, Dr Harrison Mwakyembe na akina Prof Kabudi.

Ukija kwa vizazi vya hivi karibuni list ni ndefu mfano

Peter Kibatala
John Mallya
Dickson Matata
Tundu Lissu
Peter Madereka
Kajujumbele Mwabukusi

Bila kujali kama Orodha yangu ni sahihi kiasi gani je ni Kwanini hakuna Wanawake?
 
Wapo Mbona wengi tu.
To List few
1.Fatma karume
2.Anna henga
3.Dada angu toka ni toke
4
5
6
7
8
 
Mawakili wengi mahiri hawajulikani, uliowataja wana kesi za kisiasa na kujihusisha na media.

P.s. Kabudi hajawahi endesha kesi hata moja huo umahiri atautoa wapi, kwa kifupi hajui mlango wa mahakama ulipo. Yule ni prof mahiri
Wewe unasema wanajulikana kwa kesi za kisiasa, hao mahiri ambao sio kesi za kisiasa sasa tutawajuaje?

Umahiri maana yake ufanye kitu cheny Impact na hiyo impact ionekane
 
Kwenye List mashuhuri za Mawakili Mahiri hapa Tanzania ukianza wale wa zamani utasikia ni akina Endrew Chenge, Akina Mkono, Dr Harrison Mwakyembe na akina Prof Kabudi.

Ukija kwa vizazi vya hivi karibuni list ni ndefu mfano

Peter Kibatala
John Mallya
Dickson Matata
Tundu Lissu
Peter Madereka
Kajujumbele Mwabukusi

Bila kujali kama Orodha yangu ni sahihi kiasi gani je ni Kwanini hakuna Wanawake?
Wanawake hawapigi kelele wanamaliza hukohuko mahakamani
 
Wewe unasema wanajulikana kwa kesi za kisiasa, hao mahiri ambao sio kesi za kisiasa sasa tutawajuaje?

Umahiri maana yake ufanye kitu cheny Impact na hiyo impact ionekane
Wanajulikana kwenye industry mkuu, makampuni makubwa yote yana mawakili na huwezi kujua majina yao lakini ni watu mahiri kweli kweli.
 
Back
Top Bottom