Ni kwanini ukikutana na Wanaotoka Tamasha la Mwakasege na Mwamposa Kawe unaiona tofauti hii Kubwa?

Ni kwanini ukikutana na Wanaotoka Tamasha la Mwakasege na Mwamposa Kawe unaiona tofauti hii Kubwa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
WANAOTOKA TAMASHA LA MWAKASEGE

1. Werevu Kimazungumzo
2. Wana Afya ya Kimwonekano
3. Hawana Uchovu Kimwili
4. Hawaonekani kama Wamechanganyikiwa
5. Wengi wao ni Intellectuals
6. Wameshiba Neno na siyo Mapepo na Miujiza
7. Siyo Omba Omba ( hasa wa Chakula au Nauli ) Ibada ikimalizika.

WANAOTOKA TAMASHA LA MWAMPOSA

1. Ni kama Wamechanganyikiwa
2. Hawajui wanataka nini
3. Kwao Muhimu ni Kushiba Miujuza na siyo Neno
4. Ukitaka kujenga nao Hoja ya Kiimani tegemea Kupigwa nao Ngumi au hata Kutukanwa Matusi
5. Baada ya Ibada hugeuka Matonya ( Omba Omba ) wa ama Chakula au Nauli
6. Wana Hasira ( Jazba ) kwa 99% na ni Watulivu kwa 1% tu.
7. Japo wametoka Ibadani ila sometimes ukijisahau tu labda Wakupekeche / Wakuibie.

Ewe Mwenyezi Mungu tusaidie mno.
 
Wengine wanaenda kuhudhuria educative meetings na wengine wanaenda kuhudhuria deceiving meetings.

Pia angalia aina ya watu wanaofuatwa, elimu zao na majina yao ya kazi (mmoja anajiita mwalimu na mwingine bulldozer)
 
Ukifuatilia mafunzo anayotoa Mwakasege, huwa anaongelea mambo ambayo ni halisi na yapo katika maisha yetu ya kila siku.

Tofauti na wengine ambao huwa wanapenda kutoa mahubiri kuhusu matatizo ya kufikirika ilimradi akulghai.

Mwakasege hanaga shortcut, ni anakuambia ukweli upende usipende.

Watanzania wengi shida zinawafanya wakimbilie makanisani kutafuta miujiza kwahiyo wanaenda kule ambapo wanaona watapona kwa haraka bila kufikiria kiundani zaidi.

Mungu azidi kumbariki Mwakasege, nimemfahamu toka nikiwa mdogo hadi leo sijawahi kusikia skendo yoyote ya ajabu kutoka kwake.
 
20230311_091148.jpg
 
WANAOTOKA TAMASHA LA MWAKASEGE

1. Werevu Kimazungumzo
2. Wana Afya ya Kimwonekano
3. Hawana Uchovu Kimwili
4. Hawaonekani kama Wamechanganyikiwa
5. Wengi wao ni Intellectuals
6. Wameshiba Neno na siyo Mapepo na Miujiza
7. Siyo Omba Omba ( hasa wa Chakula au Nauli ) Ibada ikimalizika.

WANAOTOKA TAMASHA LA MWAMPOSA

1. Ni kama Wamechanganyikiwa
2. Hawajui wanataka nini
3. Kwao Muhimu ni Kushiba Miujuza na siyo Neno
4. Ukitaka kujenga nao Hoja ya Kiimani tegemea Kupigwa nao Ngumi au hata Kutukanwa Matusi
5. Baada ya Ibada hugeuka Matonya ( Omba Omba ) wa ama Chakula au Nauli
6. Wana Hasira ( Jazba ) kwa 99% na ni Watulivu kwa 1% tu.
7. Japo wametoka Ibadani ila sometimes ukijisahau tu labda Wakupekeche / Wakuibie.

Ewe Mwenyezi Mungu tusaidie mno.

Pompoma mchambuzi wa mchongo,chuki zako kwa bulldoza zimevuka viwango,ila cha kusikisha utaendelea kumuona ana stawi kila uchwao huku wewe ukiendelea kupatwa na sonona kila uchwao.
 
Ukifuatilia mafunzo anayotoa Mwakasege, huwa anaongelea mambo ambayo ni halisi na yapo katika maisha yetu ya kila siku.

Tofauti na wengine ambao huwa wanapenda kutoa mahubiri kuhusu matatizo ya kufikirika ilimradi akulghai.

Mwakasege hanaga shortcut, ni anakuambia ukweli upende usipende.

Watanzania wengi shida zinawafanya wakimbilie makanisani kutafuta miujiza kwahiyo wanaenda kule ambapo wanaona watapona kwa haraka bila kufikiria kiundani zaidi.

Mungu azidi kumbariki Mwakasege, nimemfahamu toka nikiwa mdogo hadi leo sijawahi kusikia skendo yoyote ya ajabu kutoka kwake.

Hapo umenena kweli.
Maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa sababu ya kukosa maarifa.
Jamii yetu haina elimu ya kutosha ama iwe ya ahera au dunia. Ndiyo maana wanakuwa windo rahisi kwa watu wenye nia isiyo nzuri na wasio na hata chembe ya huruma.
 
Wee mpaka mbunge ameitunuku hoteli ya buludoza, tujue huyo mtu amefuzu...
 
KATIKA NYAKATI HIZI ZA UJINGA MUNGU ANAJIFANYA KAMA HAONI - MITUME 17:30

Mimi Sijui Hayo unayo Sema Yana Ukweli Huenda Wewe Upo Kwa mwakasege na Haupo Upande wa Mwamposa ! Yale Ni Mambo Ya KIROHO Sasa Mbona unaona Kimwili? Acha Kila mmoja anajua Anacho pata Kutoka kwa Mchungaji wake Mtu atakama anachakaa lakini huenda Yeye anajua Anacho Pata... MIMI SIPO UPANDE WOWOTE.

MARAN ATHA - BWANA WETU ANAKUJA

Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom