Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

Hivi wewe unaumwa? Na kama unaumwa, umekwenda Mzena wakakataa kukutibia? Tatizo ni nini? Kwani wakubwa wote wanaumwa? Je! Hospitali hiyo imeanzishwa kuwatibu wakubwa tu? Maswali ni mengi, tupe majibu.
 
Duh mzee umekosea mimi nimesema raia hawezi kuwa sawa na kiongozi
Hiyo hospitali ni special kwa ajili yao watu fulani tu lbda na familia zao

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli yapo maswali yasiyo na tija kwa mtu ambaye anakwenda kumuona mgonjwa , vikwazo vingine ndivyo huzaa story kama hizi ni bora wapunguze maswali ili ndugu wenye huzuni wapite kwenda kuwaona ndugu zao pasipo usumbufu wowote ule
 
Naona umekuja na id nyingine.
 
Kodi zinatumika hovyo. Binadam hawakosi story
Hivi kwani Kuuliza Jambo ni Kosa la Jinai ndani ya Ardhi hii ya Tanzania? Kama Swali hukulipenda ungeachana nalo na si kuwa na Kiherehere hiki.
 
Ina maana hata yule mzee wetu wa kutuita marofa alikuwa anatibiwa pale?
Ndiyo na ni hapo hapo pia hata Israeli nae alimfuata na Kuvunja Mkataba wake rasmi wa Uhai Usiku ambapo nae alikubali Mutually na Kuondoka.
 
Dhumuni lako la Kujifanya kuandika kwa Uchungu hivi na Kiufafanuzi ili tukujue kuwa nawe ni mwana TISS limetimia Ndugu je, kuna ulilolisahau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…