Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

Kawadanganye Wapumbavu katika hili Ndugu na ni vyema kama pengine unakuwa ama hujui au huna uhakika na Jambo lolote basi ukanyamaza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka sana nikasema ngoja nipite. Watu waongoooo. Mwambie aende.
 
Vi

Kuingia pale makumbusho napo ni kismati?
Mliongia humo ( hapo ) hebu mtuambie basi Sisi tulioko huku Vijijini Pemba tukiendelea na Uvuvi wetu wa Samaki ndani kukoje na kuna nini hasa.
 
Unaropoka au Unaifahamu vizuri John Hopkins ambayo ni mojawapo ya hospitali 10 bora duniani?
Hii hospital ni kubwa na ya kisasa kuliko zote Tanzania inatibu viongozi wa serikali. Hata jakaya alipodondoka kwenye kampeni za uchaguzi pale jangwani Mara mbili alikimbizwa na kuletwa pale DMMH pia ina underground basement. Kimsingi huduma za pale ni Kama za John Hopkinson.
 
Kiongozi si mtu binafsi, ni mtu aliyejivua haki zake za mtu binafsi na kuamua kuwa "public figure".

Angetaka kuwa na faragha ya "mtu binafsi", asingegombea uongozi tungetetea haki zake za faragha.

Waingereza wanasema "You can't eat your cake and have it too".

Yani watu wana uchaguzi wa kuamua, ama wanataka maisha ya faragha, bila ya kuwa viongozi, au wanataka maisha ya uongozi, yasiyo na faragha.

Haitakiwi mtu agombee uongozi na kutoa maisha yake yawe ya huduma kwa wananchi, huduma ambayo inategemea afya yake kuwa nzuri, halafu akipata matatizo ya kiafya atake kufanya faragha afiche.

That is like eating your cake and expecting it to be there. Kama unataka maisha ya faragha, usigombee uongozi.

Ndiyo maana Rais Mstaafu Kikwete alipopata matatizo ya tezi dume aliutangazia ulimwengu. Bila aibu. Namuheshimu sana Kikwete kwa hilo, ingawa kuna matatizo yake mengine ya kuangukaanguka tangu zamani hakuyasema wazi, kwa sababu za kisiasa.

Kama kawaida, viongozi wetu wanajifunza mambo baada ya kutoka madarakani.

Sasa wewe ungependa mtu mwenye kifafa kwa mfano, anayeangukanguka kila mara, agombee urais bila ya kuwaambia watu kwamba ana kifafa na muda wowote anaweza kuanguka jukwaani? Utaona mtu ana haki ya kugombea urais bila kuwataarifu wananchi kwamba ana kifafa? Kwa sababu ni suala la binafsi?

Unapokuwa kiongozi wa nchi, suala la afya binafsi ni suala la usalama wa taifa.

Nyerere aliwahi kusema hili, rais akikohoa tu watu wanaulizana, kile kikohozi cha kawaida au ana kifua kikuu yule?
Ndugu kama hutojali nitapenda sana uniambie hapa hapa na Watu hawataona hayo matatizo mengine aliyonayo au aliyokuwa nao Mstaafu JKM.
 
Hata marekani viongozi wao wakiumwa
Wanapelekwa hospital zao mfano walter reed etc

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Umeniwahi mkuu nilitaka niwajibu hivyo na kwa taarifa Water Reed ni taasisi ya kijeshi huko Marekani wana hospitali zao ambazo ndiko wanatibiwa maraisi na viongozi wa Marekani na hata maswahiba wao pia hawa Water Reed wanaendesha tafiti mbali mbali za kitibabu na magonjwa, hata hapa Tanzania wanafanya tafiti zao hadi vijijini.
 
Hii issue ya Mzena Hospital inazidi ku-trend sana hapa JF bila sababu ya msingi.
Kwani kiongozi akiumwa wewe binafsi unateseka na nini?
Shida yako hii Mada isiendelee Kushika Kasi kwa pages zake Kuongezeka kama hii ya 8 sasa au Swali ( Hoja ) yangu ya Msingi imekuumiza mno tu?
 
Kama makao makuu ya mehamia Chamwino, naona watakua mbioni kujenga tawi la Mzena Dom, naomba hii waiite Mapank. Mfugale sasa ana mbili. [emoji14] [emoji14] 😛
Bado base ya viongozi wastaafu na familia zao kuanzia uongozi wa awamu ya kwanza , ya pili, ya tatu na ya nne.
Waliohamia Dodoma ni hii generation ya awamu ya tano, miaka ya baadae sana huenda ikajengwa hospital aina hiyo hata Dodoma.
 
Kama habari hii inahusiana na kufariki kwa Rose Nyerere, hamjamtendea haki huyu dada, kwani yeye si kiongozi wa serikali.

I'm just saying.

No confusion.

RIP Rose Nyerere.
 
Isomeke Johns Hopkins. Si mwenyeji sana huko iliko na uliko.
Mkuu ama Simu yako au Laptop yako umeiseti vyema upande wa Dictionary ukikosea neno utaona mstari Mwekundu chini. Je, Wewe hukuuona?
 
Hizi ndo chumvi zinazoweza leta chuki Kwa serikali..
Kama ni best hivyo mbona Nyerere alipelekwa London?
Yawezekana alipenda Kufia kwa Wazungu wenye Akili nyingi na siyo Kufia huku Kwetu Afrika ambako Akili za Kipa Katoka ndiyo zimetawala sana.
 
Ndugu kama hutojali nitapenda sana uniambie hapa hapa na Watu hawataona hayo matatizo mengine aliyonayo au aliyokuwa nao Mstaafu JKM.
Ndugu nikuambie nini sasa mbona umeacha habari inaelea hewani sijaelewa unachotaka kuambiwa?
 
Shule ya Jasusi Mbobezi Benard Kamilius Membe hiyo, akikuona umehaiharibu jina atasononeka zaidi.
Kama Bernard Membe wenu kila Uchao hapa JF mnajifaragua kwa Kumuita Jasusi Mbobezi je, wakina Hayati Kombe na Apson wao mtawaitaje?
 
Kama Bernard Membe wenu kila Uchao hapa JF mnajifaragua kwa Kumuita Jasusi Mbobezi je, wakina Hayati Kombe na Apson wao mtawaitaje?
Obviously sarcasm is not your strong suit.

Bernard Membe is the butt of all jokes now.

Tanzania jasusi mbobezi labda Mahfudh, hao kina Apson na Kombe wote wana scandals zinazo wa disqualify.

Mahfudh jasusi mbobezi mpaka serikali ya Tanzania ilikuwa inamuogopa haitaki awepo nchini.

Apson mwanasiasa aliyeshindwa ku back the right horse hivyo ujasusi wake una question mark, Kombe is even worse, aliuawa kama a common criminal baada ya kujiingiza kwenye siasa.
 
Ukipanda pale juu kabisa ghorofani Kairuki Hospital, unaona mle ndani na hiyo hospital ipo huku karibu na Kairuki,kuna rafiki yangu dada yake ni mfanyakazi wa hiyo idara tulienda msalimia siku moja,mle ndani,maswali mengi utadhani sijui unaomba visa ya kwenda marekani
Amini usiamini kwa ulichokiandika tu hapa kuhusu hapo kwa Kairuki na huko juu kuanzia Kesho mnaweza huko juu mkapanda kwa Masharti sana.
 
Back
Top Bottom