Ni kwanini Vitabu vya Kiimani (Dini) vimepinga Mwanamke kuwa Kiongozi / Mtawala?

Sasa akiwa mjamzito na ni paroko na Kuna muumini anahitaji sakramenti ya mpako wa wagonjwa ataendaje huko mabondeni? Au ni shehe akaanzisha RAKA mara paaap akashikwa uchungu au akaingia period?
 

Nionyesha wakati wa Yesu na hata agano la kale ni wapi mwanamke alipata kuwa kiongozi, ukiacha ile coincidence ya Debora tena ni kwa sababu naalum
 
Uongozi kwa muktadha wa uislam ni majukumu,katika uislam Kuna mgawanyo wa majukumu kwa kila jinsia,na mwanaume kabebeshwa majukumu mazito,uongozi katika uislam siyo kufaidi mshahara mnono na v8,mahitaji yote ya familia ni hukumu la mwanaume,kupigana Vita nk...Sasa mtu aking'ang'ana anataka uongozi kwenye uislam unamshangaa
 
Swadaqta, tatizo watu wanataka kutia pumba kwenye trekta na kumnywesha ng'ombe disel ili alime kama trekta.

Wakati Kila kimoja na kazi yake.
 
Aya gani kwenye Quran inayopinga wanawake kuwa viongozi, mbona hujaitaja ili kuthibitisha andiko lako?
 
Wanawake huongozwa na hisia. Asa. Akiwa kiongozi kuna vitu ambavyo atashindwa mfano maamuzi magumu. Wanaume pekee hufanya maamuzi magumu.
Mwanamke unakuta badala ya kutoa maamuzi yeye analia. Sasa unalia ili iweje sasa.
 
Ni kweli Mkuu nimesoma comment yake mbaka nikashangaa jamaa ana makasiliko hatari n sahihi uyo sio mkristo mwenzetu kabisa,,, Pia kuhusu mwanamke na makatazo ya kutokua kiongozi hata kwenye ukristo yapo na pia hata namna ya uvaaji umeelezwa vizuri tu lakini ni vile tu watu hawafatilii hilo jambo,,
Refer to post hiyo ya aizna
Cha ajabu wamejaa MADHABAUNI-MADHABAU

Timotheo wa kwanza 2: 11-12 na muendelezo wake
 
Mola alikua anachuki nawanawake hata ukiangalia jinsi alivowaamlisha wavae mpaka kujifunika nyuso zao sijui mola alikosewaga Nini nahawa viumbe
aliyeamrisha wanawake wajifunike sio allah ila ni rafiki ake mtume anaitwa Omary...tena ili kumlazimisha mtume iwe sheria akawa anavizia maeneo ya wanawake kujisaidia jangwani na akimuona mke wa mtume anaanza kupiga kelele ''nimekujua'' hivyo mtume akamaindi kichizi ikabidi aamuru (kupitia Allah) kuwa wanawake wote wawe wanafunika nyuso zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…