Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 1,412
- 1,669
Ila nyie mbona mnatudharau hivyo jamani?Mwanamke ni dhaifu Sana.
Mungu alilijuwa hilo.
Mfano.
_Utamnunulia gari la thamani kubwa.
Atakuja kukusaliti kwa mwanaume anayemuwekea mafuta ya 6000.
-- utampa 20000 akale chips ,atakusaliti kwa mwanaume atakaye mnunulia soda ya 500.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Kweli soda ya jero....kweli?!! 😥 Labda kama mwanamke wako hakupendi!