Kwahiyo wakristo na waislam wameumbwa na miungu tofauti? Pathetic
Hapo ni wazi kuna dini moja tu ya Haki na waliofuta dini( miungu) nyingine (mingine) watakuwa wameangamia.
Yesu ndiye njia, mtu haendi kwa Baba (yaani Mungu), ila kwa njia ya Yesu. Yohana 14:6; Siasa, Ideolojia, filosofia, hazibadilishi ukweli huu.
Wwe na hao wenzako, mwaminini Bwana Yesu Kristo mpate kuokolewa, wala si moamedi wala alla Matendo ya Mitume 16:31.
Ukiongea habar za uumbaji, Mungu peke yake ndiye aliyeumba watu na vitu vyote, hiyo miungu inayoitwa, mizimu, alla, dagoni, baal, bikira maria, olimpiki, hyperion, helios, selene, lapetos, oekanos, klymene, koios, kreios, eurybia, zeus, rhea, mneosyne, okeanos, hades, demeter, poseidon, themis, tethys, theia, hyperion, anansi, bumba, kaang, anubis, gu, mami wata, nana-buluku, ngai, takhar, kubi, etc ni miungu inayoabudiwa na watu wasiomjua Mungu Muumbaji. Wanaabuduo kama muiungu kwao kwa kutokumjua Mungu Mkuu, muumba wa vitu vyote.
Yaani mnaabudu miungu isiyowaumba kwa kuwa hammjui Mungu aliyewaumba wala hammtambui. Na kwa bahati mbaya hasa mkiwa wabishi mnaojifanya kujua wakati hamjui.
Kwa hiyo usilazimishe kwamba Mungu muumbaji, yaani YHVH, ndiye hiyo ama yuko swa na hiyo miungu yenu.
Na usim reduce Mungu muumbaji into the level of your religions!. Mungu hana dini wala Kristo Yesu hakuleta dini isipokuwa wokovu kwa kupitia yeye dunia ikombolewe.
Wafilipi 2: 9 -11,
Matendo ya mitume 4: 12.
Warumi 14:11
Isaya 9: 6-7,
Luka 1: 26 - 34
31 Sikiliza, utapata mimba, nawe utazaa mtoto wa kiume; na utamwita jina lake Yesu. 32 Mtoto huyo atakuwa mkuu na ataitwa Mwana wa Aliye Juu. Na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Mfalme Daudi, baba yake. 33 Atatawala juu ya nyumba ya Yakobo daima; na ufalme wake hau takuwa na mwisho!”
34 Mariamu akamwuliza malaika, “Lakini, nitapataje mimba, na mimi ni bikira?” 35 Malaika akamjibu, “Roho Mtakatifu ata kujilia na nguvu za Mungu zitakufunika kama kivuli, na kwa hiyo mtoto atakayezaliwa atakuwa mtakatifu na ataitwa Mwana wa Mungu.
Luka 2: 2 - 21
2 Siku zile Kaisari Augusto, mtawala wa milki ya Kirumi, aliamuru ya kwamba watu wote wa milki yake waandikishwe. 2 Hii ilikuwa ni sensa ya kwanza kufanyika nayo ilitokea wakati Kirenio alipokuwa liwali wa Siria. 3 Watu wote walikwenda katika sehemu walikozaliwa ili waandikishwe huko. 4 Yusufu alitoka mji wa Nazareti uliopo Galilaya akaenda mpaka Bethlehemu mji wa Daudi kwa sababu yeye alikuwa wa ukoo wa Daudi. 5 Alikwenda huko kujiandikisha pamoja na mchumba wake Mariamu ambaye kwa wakati huu alikuwa mja mzito.
6 Walipokuwa Bethlehemu, wakati wa Mariamu kujifungua uli fika, 7 naye akamzaa mtoto wa kiume, kifungua mimba. Akamfunika kwa vinguo na kumlaza horini, kwa sababu hapakuwa na nafasi katika nyumba ya wageni.
Wachungaji Wapata Habari
8 Usiku ule walikuwako wachungaji wakilinda kondoo zao nje ya mji. 9 Ghafla malaika wa Bwana akawatokea, na utukufu wa Mungu ukawang’azia pande zote. Wakajawa na hofu kuu. 10 Lakini malaika akawatuliza akisema: “Msiogope! Nawaletea habari njema ya furaha kubwa, na habari hii ni kwa faida ya watu wote! 11 Kwa maana leo katika mji wa Bethlehemu, amezaliwa Mwokozi ambaye ndiye Kristo Bwana. 12 Na hivi ndivyo mtakavyomtambua: mtamkuta mtoto mchanga amefunikwa vinguo na kulazwa horini.”
13 Mara jeshi kubwa la malaika wa mbinguni likatokea na pamoja wakamsifu Mungu wakiimba: 14 “Atukuzwe Mungu juu mbin guni, na duniani iwepo amani kwa watu ambao amependezwa nao.”
15 Malaika hao waliporudi mbinguni wale wachungaji walish auriana: “Jamani, twendeni Bethlehemu tukaone mambo haya ya ajabu yaliyotokea, ambayo Bwana ametufahamisha.”
16 Kwa hiyo wakaenda haraka Bethlehemu, wakawakuta Mariamu na Yusufu; na yule mtoto mchanga alikuwa amelala mahali pa kulia ng’ombe. 17 Walipomwona mtoto, wakawaeleza yale waliyokuwa wameambiwa. 18 Na wote waliosikia habari hizi wakastaajabia yale waliyoambiwa na wachungaji. 19 Lakini Mariamu akayaweka mambo haya yote moyoni mwake, akayafikiria mara kwa mara.
20 Wale wachungaji wakarudi, huku wakimtukuza Mungu na kum sifu kwa yale waliyoyasikia na kuyaona.
21 Hata baada ya siku nane, ilipotimia siku ya kumtahiri mtoto, aliitwa Yesu; jina alilopewa na malaika kabla hata haja chukuliwa mimba.
Acha ubishi wala kujifariji kwamba miungu unayoabudu ndiyo iliyokuumba. Mwamini Bwana Yesu bila kuchelewa. Yeye pekee ndiye mwokozi. Umeelewa wewe?