Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 1,412
- 1,669
Ila nyie mbona mnatudharau hivyo jamani?Mwanamke ni dhaifu Sana.
Mungu alilijuwa hilo.
Mfano.
_Utamnunulia gari la thamani kubwa.
Atakuja kukusaliti kwa mwanaume anayemuwekea mafuta ya 6000.
-- utampa 20000 akale chips ,atakusaliti kwa mwanaume atakaye mnunulia soda ya 500.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Hiyo hiyo soda ya 500 unavunja uchumba wa mtu.Ila nyie mbona mnatudharau hivyo jamani?
Kweli soda ya jero....kweli?!! [emoji26] Labda kama mwanamke wako hakupendi!
Mwambie amalizie mpaka wa 15 sio mnachambua tu maandiko yanayowahusu.Cha ajabu wamejaa MADHABAUNI-MADHABAU
Timotheo wa kwanza 2: 11-12 na muendelezo wake
Nitachagia baadaye kwa urefu, ila soma...Biblia haijakataza mwanamke...
Ila kwenye kutawala happy hatuna mifano ya mitume, manabii, watawala wote wa misri na Israeli hakuwahi kutokea mwanamke.
...