Ni kwanini Waandaaji wa 2022 Mapinduzi Cup Takwimu hii muhimu wameisahau? Tafadhali upesi sana waiweke ibakie Kumbukumbu kwa Vizazi vijavyo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mchezaji Bora Mechi ya Fainali Mapinduzi Cup - Henock Inonga (Simba SC)

Kipa Bora wa Mashindano ya 2022 Mapinduzi Cup - Aishi Manula (Simba SC)

Mfungaji Bora Mashindano ya Mapinduzi Cup - Meddie Kagere (Simba SC)

Mchezaji Bora ( MVP ) wa Mashindano ya Mapinduzi Cup - Pape Ousmane Sakho (Simba SC)

Klabu Bora kwa Kufungwa Magoli mengi katika Mashindano ya Mapinduzi Cup - Yanga SC

Kipa aliyetia Aibu, Kujiaibisha Yeye na Kuigharimu katika Mashindano ya Mapinduzi Cup - Erick Johora.

Klabu Bora kwa kuwa na bahati mbaya ya Kutolewa mapema katika Mashindano ya Mapinduzi Cup mpaka Kukosa Kutembezwa na Vivutio mbalimbali vya Utalii ( Kitalii ) Visiwani Zanzibar - Yanga SC.

Usininunie Mimi ila nunia tu Takwimu!!!
 
Unataka takwimu kwenye kombe ambalo unaokota mchezaji yoyote kutoka popote awe mchezaji wako sio wako na hakuna atakayekuuliza kitu...watu wanasumbuka kuhifadhi takwimu kwenye makombe yanayotambulika.
 
Why kipengele Cha kocha Bora hakikwepo?

Japo Mimi Ni Simba Ila hii tuzo angepewa kocha wa Azam ningeridhika Sana.

Labda Kuna sabab za msingi za kutoweka hiki kipengele.

Pia hapa nashauri kocha wetu wa Simba apunguze jazba hii ndio Africa yenye vituko vya ajabu Sana so asipanic Sana ,viongozi wajaribu kukaa nae na mumshaur ,huenda ndio sabab iliyopelekea hiki kipengele kisiwekwe ,maana Mara nyingi huchukua anayekua bingwa ,Sasa huenda wameogopa kutoa sabab ya kasoro Kama hizo na wangempa yule wa Azam maswali yangekua mengi Sana japo binafs ningeona Ni sawa tu maana yule kocha Ni fundi alafu Hana mihemuko ingawa kombe limempita kushoto.
 
Imekuaje Kagere amekua mfungaji bora na ana goli mbili , kuna mchezaji wa Meli 4 ana goli 4 , Makambo ana goli 3
 
Unataka takwimu kwenye kombe ambalo unaokota mchezaji yoyote kutoka popote awe mchezaji wako sio wako na hakuna atakayekuuliza kitu...watu wanasumbuka kuhifadhi takwimu kwenye makombe yanayotambulika.
mwaka jana mbona hujaleta hoja Kama hiyo
 
Unataka takwimu kwenye kombe ambalo unaokota mchezaji yoyote kutoka popote awe mchezaji wako sio wako na hakuna atakayekuuliza kitu...watu wanasumbuka kuhifadhi takwimu kwenye makombe yanayotambulika.
Sasa kama unayajua yote haya na Umejitutumua Kujitetea Kipumbavu hivi kwanini Yanga SC yako ilishiriki 'mazima' Michuano hi?

Nimeamini sasa kuwa kumbe Yule aliyewahi kuwa Kocha wenu Mkuu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) aliposema ( na Ushahidi upo YouTube ) kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe alikuwa sahihi tena kwa 100% zote.
 
He yamekuwa hayo....mmesahau wakati mashindano yanaanza mlisema Nini!🤣
 
Unataka takwimu kwenye kombe ambalo unaokota mchezaji yoyote kutoka popote awe mchezaji wako sio wako na hakuna atakayekuuliza kitu...watu wanasumbuka kuhifadhi takwimu kwenye makombe yanayotambulika.
Wewe ulishin dwa au ulikatawa kuokoteza?
 
Mchezaji Bora Mechi ya Fainali Mapinduzi Cup - Henock Inonga ( Simba SC )

Kipa Bora wa Mashindano ya 2022 Mapinduzi Cup - Aishi Manula ( Simba SC )...
Sijawai kuona watu vigeugeu na wapuuzi Kama mashabiki wa mikia, nyie mwaka Jana mlisema amna muda na kikombe cha mbuzi, Leo hii mnabweka apa Kama fisi maji kwa kuchukua icho icho kikombe cha mbuzi, imekuwaje tena Leo limekuwa kombe la maana tena baada ya kubebwa na maamuzi ya marefarii? Muwe mnaacha utaahira!
 
Sasa kama unayajua yote haya na Umejitutumua Kujitetea Kipumbavu hivi kwanini Yanga SC yako ilishiriki 'mazima' Michuano hi?

Nimeamini sasa kuwa kumbe Yule aliyewahi kuwa Kocha wenu Mkuu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) aliposema ( na Ushahidi upo YouTube ) kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe alikuwa sahihi tena kwa 100% zote.
Sokwe namba moja ni wewe usiekuwa na chembe ya aibu unageuka geuka Kama mwanamke kitandani, nyie mlisemaje juu ya ili kombe baada ya yanga kulibeba mwaka jana, kumbukumbu unazo au ndo ivyo maruhani yalikuwa yamepanda, kikombe mlichosema cha mbuzi leo hii mnabweka mji mzima nini kimewakuta
 
Uli
Sijawai kuona watu vigeugeu na wapuuzi Kama mashabiki wa mikia, nyie mwaka Jana mlisema amna muda na kikombe cha mbuzi, Leo hii mnabweka apa Kama fisi maji kwa kuchukua icho icho kikombe cha mbuzi, imekuwaje tena Leo limekuwa kombe la maana tena baada ya kubebwa na maamuzi ya marefarii? Muwe mnaacha utaahira!
Inakuuma eheee!
 
Unataka takwimu kwenye kombe ambalo unaokota mchezaji yoyote kutoka popote awe mchezaji wako sio wako na hakuna atakayekuuliza kitu...watu wanasumbuka kuhifadhi takwimu kwenye makombe yanayotambulika.
Utopolo ktk ubora wako.
 
Mchezaji Bora Mechi ya Fainali Mapinduzi Cup - Henock Inonga ( Simba SC )

Kipa Bora wa Mashindano ya 2022 Mapinduzi Cup - Aishi Manula ( Simba SC )

Mfungaji Bora Mashindano ya Mapinduzi Cup - Meddie Kagere ( Simba SC )

Mchezaji Bora ( MVP ) wa Mashindano ya Mapinduzi Cup - Pape Ousmane Sakho ( Simba SC )

Klabu Bora kwa Kufungwa Magoli mengi katika Mashindano ya Mapinduzi Cup - Yanga SC

Kipa aliyetia Aibu, Kujiaibisha Yeye na Kuigharimu katika Mashindano ya Mapinduzi Cup - Erick Johora.

Klabu Bora kwa kuwa na bahati mbaya ya Kutolewa mapema katika Mashindano ya Mapinduzi Cup mpaka Kukosa Kutembezwa na Vivutio mbalimbali vya Utalii ( Kitalii ) Visiwani Zanzibar - Yanga SC.

Usininunie Mimi ila nunia tu Takwimu!!!

Aione mtani wangu kipenzi Shadeeya
 
Sijawai kuona watu vigeugeu na wapuuzi Kama mashabiki wa mikia, nyie mwaka Jana mlisema amna muda na kikombe cha mbuzi, Leo hii mnabweka apa Kama fisi maji kwa kuchukua icho icho kikombe cha mbuzi, imekuwaje tena Leo limekuwa kombe la maana tena baada ya kubebwa na maamuzi ya marefarii? Muwe mnaacha utaahira!
Nyie ndo mlilipa thaman kwa kulitembeza mitaa yote ya dar...sasa tukaona msibaki nalo tena
 
Sokwe namba moja ni wewe usiekuwa na chembe ya aibu unageuka geuka Kama mwanamke kitandani, nyie mlisemaje juu ya ili kombe baada ya yanga kulibeba mwaka jana, kumbukumbu unazo au ndo ivyo maruhani yalikuwa yamepanda, kikombe mlichosema cha mbuzi leo hii mnabweka mji mzima nini kimewakuta
Mngekaa na kutulia bila kulizururisha kwa kuwaonesha mashabik mbumbumbu kuwa ni la thaman tungewaachia...sasa tumeamua mmbaki na ngao ya hisan ambayo haina maana cz inakutanisha tu timu mbili
 
Back
Top Bottom