Ni kwanini Waandaaji wa 2022 Mapinduzi Cup Takwimu hii muhimu wameisahau? Tafadhali upesi sana waiweke ibakie Kumbukumbu kwa Vizazi vijavyo

Ni kwanini Waandaaji wa 2022 Mapinduzi Cup Takwimu hii muhimu wameisahau? Tafadhali upesi sana waiweke ibakie Kumbukumbu kwa Vizazi vijavyo

Nyie ndo mlilipa thaman kwa kulitembeza mitaa yote ya dar...sasa tukaona msibaki nalo tena
Kwa kweli ilibidi Simba wafanye kweli kipindi hiki.

Maana tulichukulia poa,kumbe wenzetu ikawa nongwa.

Haya sasa wapambane na hali zao.
 
Makolo kuna mbumbumbu wengi, tangu lini magoli ya penalty baada ya dk 90 yakahesabika?
 
Unataka takwimu kwenye kombe ambalo unaokota mchezaji yoyote kutoka popote awe mchezaji wako sio wako na hakuna atakayekuuliza kitu...watu wanasumbuka kuhifadhi takwimu kwenye makombe yanayotambulika.
Unaongea kwa unyonge kwelikweli. Yanga ilifungwa goli 11
 
Back
Top Bottom