W wazunguwawili JF-Expert Member Joined May 29, 2019 Posts 3,984 Reaction score 4,132 Jan 15, 2022 #21 Killboy said: Nyie ndo mlilipa thaman kwa kulitembeza mitaa yote ya dar...sasa tukaona msibaki nalo tena Click to expand... Kwa kweli ilibidi Simba wafanye kweli kipindi hiki. Maana tulichukulia poa,kumbe wenzetu ikawa nongwa. Haya sasa wapambane na hali zao.
Killboy said: Nyie ndo mlilipa thaman kwa kulitembeza mitaa yote ya dar...sasa tukaona msibaki nalo tena Click to expand... Kwa kweli ilibidi Simba wafanye kweli kipindi hiki. Maana tulichukulia poa,kumbe wenzetu ikawa nongwa. Haya sasa wapambane na hali zao.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 16, 2022 #22 Ahsante Kwa taarifa...
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,898 Reaction score 14,413 Jan 16, 2022 #23 Makolo kuna mbumbumbu wengi, tangu lini magoli ya penalty baada ya dk 90 yakahesabika?
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,050 Reaction score 5,204 Jan 16, 2022 #24 dem boy said: Unataka takwimu kwenye kombe ambalo unaokota mchezaji yoyote kutoka popote awe mchezaji wako sio wako na hakuna atakayekuuliza kitu...watu wanasumbuka kuhifadhi takwimu kwenye makombe yanayotambulika. Click to expand... Unaongea kwa unyonge kwelikweli. Yanga ilifungwa goli 11
dem boy said: Unataka takwimu kwenye kombe ambalo unaokota mchezaji yoyote kutoka popote awe mchezaji wako sio wako na hakuna atakayekuuliza kitu...watu wanasumbuka kuhifadhi takwimu kwenye makombe yanayotambulika. Click to expand... Unaongea kwa unyonge kwelikweli. Yanga ilifungwa goli 11