Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Mungu awabariki sana walimu wangu walionifundisha,

Mkandawire,

Sedrick magasi

Mwalimu mlay

Kuna mzee mmoja alikua mtaalamu wa physics alifundisha tosamaganga dah nimemsahau jina

Sasa wewe mshenzi mmoja unawadharau walimu we ni mwehu mmoja
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ukweli umekugusa pole mwalimu ila jitambue
 
@mpwayungu village pitia hapa halafu uniambie umejifunza nini
 
Huu Uzi umenitoa machozi 😭🥳🥳

niliingia ualimu nikiwa na status nakumbuka nilikuwa namba Moja kiwilaya na baadae nikawa na nafasi nzuri tu.

treatment ya watoto wasiojua Chochote iwe 'a' 'b' anaweza akasema hayo? Lkn kama ndivyo wahusika wamepata ujumbe. Lkn si kweli kwamba kada tajwa Ina watu uliowataja.
 
Asichokijua kuna mpaka namba ya simu iliyotumika baina yake na mtu mwingine, Sasa anataka tufanye jambo tule ban ila mtakaobaki mtamjua huyo mlemavu wa akili. Bahat yake sheria haziruhusu ila leo angejutia hii mada yake.
Ungelipua tuu mkuu, hawana adabu hawa watoto wa 2000s
 
Mungu akubariki ndugu
Aamin na wewe pia, huyo Mpwayungu radhi ya walimu itamtafuna kwa alichokiandika kwani anaweza kujikuta akianguka Ktk kila harakati zake za kimaisha na kuaibika kumbe sababu ni andiko lake la kuwakosea hashima watu muhimu ktk jamii ambao hata Mwenyezi Mungu amewapa daraja kubwa.

Alikuwa na uwezo wa kuandika hoja zake Ktk hali ya busara na hekima na ingeeleweka vizuri. Kibri , dharau , majivuno na kujifaharisha ni sifa mbaya na za watu waovu kama Firauni na Shetani..
 
Ni wivu tu, na wanaowadharau wana maisha magumu sana
 
Ukisoma baadhi ya maandiko yake kuna wakati alitaka kuwa mwalimu lkn akala mtoto headmaster ata kabla hajaanza kazi akafukuzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…