Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Kwa hayo uliyoyasema sio walim tu hata kada nyingi ni ivo ivo tunawaona mtaani huku kifupi n kwamba maisha ya mstaafu ambae n mtumishi huwa n magum kwa wote wengi wanajenga kwa hela za kustaafia mtaani huku shida walim n wengi ndo mnaona ivo pumbavu zako mtoa mada una pigo za kina juma lokole
 
Mpwa is back πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…

We miss you brother
 
Jamaa Huyu ni mjinga
Hajui maisha ni jinsi MTU anavyopangilia,MBNA watumishi wengi tu wanajenga mapeema?
 
Walichowahi kukufanyia walimu kitakuathiri miaka yako yote.
Kichaa huwa kina idara mwingine kichaa chake kinakuwa kuzunguka mji mzima akiokota takataka.Mwingine kichaa chake kutembea uchi muda wote

Mleta mada kichaa chake kiko kwenye kuporomoshea matusi walimu

Ni kichaa kama vichaa wengine chake kiko idara ya kuporomoshea matusi walimu muda wote

Ndigu zake wampeleke Mirembe .Naongea sitanii .Huyo mleta mada ana kichaa kamili kabisa sio siri
 
Hatimae nimekuelewa.

Unawapenda sana walimu na mara kwa mara unajaribu kueleza chanhamoto zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…