Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

kuwaelewa watanzania especially watu wa jamii forum ni ngumu sana,wengi wanamaisha mazuri wengi wana magari.wameoa pisi kali,sisi walimu ndo tunadharauliwa sawa tu
sasa unawaonea wivu mpaka kwenye sensa unataka madaktari wakahesabu sensa,emu soma kidogo kanuni za utumishi wa umma,likizo ya mtumishi ni mara moja kwa mwaka inamaana siku zingine inabidi awepo ofisini,ye mwalimu anakuwa na likizo zisizo rasmi kutokana na wateja wake ambao ni wanafunzi,acha chuki we jobless na hopeless mi nshawazoea wala hamnishughulishi
 
Pole Sana mwalimu
 
Unaona huko sawa lakini mtafute mtaalamu Wa afya ya akili. Unaongelea walimu wa miaka gani? Nimesoma ualimu na division 2 PCB, nimeenda chuo nimekuta division one PCB na two za kutosha. Hebu tuone matokeo yako ya form six na hiyo HKL yako unadhani walishindwa kusoma hiyo HKL yako unayotupigia nayo kelele humu?
Walimu wengi wanajitambua wengi wamefungua miradi, wanafanya shughuli za kimaendeleo sasa sijui wewe unacho kipi cha kuwazidi hao walimu.

NOTE
Watu wengi wanasoma ualimu kwa sababu ya unafuu wa ada kupunguza mzigo nyumbani unadhani watu hawataki kwenda kcmc? Au kairuki? Au IMTU? au Bugando? Hata hawa ngazi ya chini unadhani wanashindwa kwenda vyuo vya afya? Shida ni umaskini wanakimbilia palipo nafuu.
 
Sio kweli, one ya PCB haendi ualimu hata umwekee bunduki kifuani
 
Hili hata Samia juzi kasema zanzibar, amesema moja ya vitu serikali ili fanya makosa nikuchukua waliofeli wakasome ualimu, ndio maana ni wengi mitaani wapo zaidi ya laki tano Hao bado hawana ajira
Tatizo sio waliofeli mkuu,shida inaanzia kwenye mikopo ya elimu:ualimu ndo kozi inayopewa priority kubwa kupata mkopo,nambie mtt wa mkulima kijijini ataweza kusoma mechanical engineering,law au finance ajigharimie?
 

Tatzo wanatukopa sana
 
Huyu anaugua akili achana nae... ajabu ni kwamba kauliza sababu pale juu halafu huku chini akazitiririka vya kutosha sasa sijui swali lile la nini
 
Tatizo sio waliofeli mkuu,shida inaanzia kwenye mikopo ya elimu:ualimu ndo kozi inayopewa priority kubwa kupata mkopo,nambie mtt wa mkulima kijijini ataweza kusoma mechanical engineering,law au finance ajigharimie?
Mbona wanapewa mikopo mpaka wanaosoma human resources mkuu, hakuna course siku hizi zisizopewa mkopo unless uwe umetoka school of tanganyika
 
Huyu anaugua akili achana nae... ajabu ni kwamba kauliza sababu pale juu halafu huku chini akazitiririka vya kutosha sasa sijui swali lile la nini
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Eti Sasa sijui swali aliuliza la nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa sasa kipato ndio kinakupa heshima mtaani na sio kazi yake. Kiuhalisia walimu wengi wana vipato vya kawaida sana, wanaongoza kukopa kwenye duka la mangi, wanaongoza kuomba lift, hawana swaga za matumizi ya pesa nk. Hapo heshima itatokea wapi?
Naona mmeamua tukuchamba
 
Ulikuwa na nia nzuri ya kuelezea matatizo ya walimu, lakini kebehi zimezidi.
 
Ta
Sio kweli, one ya PCB haendi ualimu hata umwekee bunduki kifuani
Tatizo unatanguliza kubishana mbele darasa letu tuliosoma physics tulikua 120 na hakuna aliepata three nawajua wengi tu wenye one.

NAKUKUMBUSHA TU WAPO WENYE TWO PCB WALISOMA UDAKTARI KAIRUKI, IMTU, ST FRANCIS N.K SIO KWAMBA WALIOSOMA UALIMU WAMEFELI
 
Ni asilimia 0.0000000000000000000000001
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…