CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,048
- 7,608
So hv pale duce au mkwawa wale wanaosoma walipata dv 4,, form 4[emoji23][emoji23][emoji23]ishu ilianzia pale ukipata division four form four unaambiwa ukasomee ualimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So hv pale duce au mkwawa wale wanaosoma walipata dv 4,, form 4[emoji23][emoji23][emoji23]ishu ilianzia pale ukipata division four form four unaambiwa ukasomee ualimu
Sio walimu tu, kwa yeyote pesa ndo kigezo cha heshima miongoni mwa binadamu.Hili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu. Hata muonekano wao umekuwa ni too primitive huku wakijidifence eti ni dressing code ya mwalimu lakini nguo zao huwa ni zilezile Shati kubwa ndefu na suruali iliyopwalaruka. Hata wakiwa wanatembea wamejawa na msongo wa mawazo wananuka madeni kila kona utakuta wanadaiwa kila duka mala kakopa dagaa, kakopa sukari, kakopa Unga, kakopa Mchele, mafuta na kila aina ya takataka dhamana yake ni kazi aliyonayo kwahiyo mda wote anaangalia tarehe ya mshahara ikifika tu ndowanakuwa wa kwanza kujazana benki yani siku hiyo panakuwa hapatoshi ni kero tupu, siku za mshahara almost zipo sawa kwa kila mtumishi wa umma ila walimu ikifika net day of salary yupo benki nadhani ni kutokana na madeni aliyonayo pamoja na ukata wa nyumbani maana hawa watu wanalisha Familia kubwa, ya kwake na ndugu zake.
Hii tabia imekuwa ikinifanya nakwazika nakuwaonea huruma pia. Fedheha nyingine nikuwa walimu wengi wanaenda wenye hakili ndogo au waliofeli hili hata Samia alilisema zanzibar, hali hii imekuwa ikipelekea ongezeko kubwa la walimu mitaani wasionaajira bahati mbaya hawana skills zakujiajiri kutokana na low IQ waliyonayo kwahiyo matazamio yao ni kusaka huruma za watawala ili wawaajiri.
Mifano iko wazi, hizi ajira za juzi zilizotangazwa na tamisemi za afya na walimu, idadi kubwa ya walioomba ni walimu, waliomba zaidi ya laki moja wakigombania nafasi elfu tisa lakini afya hawakuzidi elfu thelasini kwa nafasi elfu saba. Hapo unaweza ukaona urahisi una gharama zake, ualimu ni ajira za watu wenye level ndogo ya uelewa darasani lakini udaktari sio program ya kitoto hiyo wanaoenda ni PCB smart hakuna matapitapi ya HKL wala wenye four za form six.
Njaa za walimu zimezidi mipaka. Kwanza hawana subira, angalia tu hizi ajira walizotoa tamisemi, walimu wanasumbua hadi aibu naona mimi ukiingia kwenye mitandao ya kijamii wanatia huruma hadi kinyaa. Utasikia toeni pdf, mda wote utasikia toeni majina hawajui wizara Ina kazi nyingi za kufanya halafu majina yakitoka siku hiyo hiyo kero inaanza wa naanza kuuliza ajira za walimu mnatoa lini.
Mimi nadhani hii sekta ya walimu kama wizara mnaidekeza sana ndio mana mnawageuza kama cheap labor kwenye kazi za kitaifa kama sensa na uchaguzi mkuu maana mnajua wanalipika kwa pesa ya mrenda. Mbona hamuwachukui madaktari na watu wa TRA au TPDC tuone kama watakubali viajira vya sensa. Sasa mtazamo wangu walimu waanze kwenda wenye ufaulu mzuri kama kada zingine, hii itasaidia kupunguza idadi kubwa ya walimu wenye njaa njaa wanalia saaana,
Walimu waanze kupigwa interview kama kada zingine za utumishi ili kubaidi vilaza na smart. Hii hali itapunguza mlundikano wa hawa watu kwenye competition za ajira. Wapigwe oral na written interview ili akili ziwakae sawa. Mbona tuliosoma kada zingine tunakaa mitaani miaka zaidi ya minne nahatusikii ajira zimetangazwa na hata zikitoka hatuanzi kero za kudai majina kwa haraka kama tunakimbizwa. Walimu hawana uvumilivu.
Sina Nia mbaya ila haya mawazo niliyotoa kama yatafanyiwa kazi basi walimu wataanza kuheshimika kama wafanyakazi wengine wa serikalini. View attachment 2271988
Hehehehehe anamaanisha steriochemistry waliyosoma ni ya kawaida[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapana, elimu wanayopata chuoni kwa miaka hiyo yote ndio elimu inayowapika waweze kuwafundisha watoto vizuri, labda cha kuangalia hapa ni wito.
Wakifanya hivyo, wajinga wanaowaponda walimu leo ndio hao hao watakua mstari wa mbele kulalamika sababu watagundua watoto wao ni mapopoma kupitiliza.Natamani siku moja waalimu wasiwe wanawafuatilia watoto,, yaani wawaache tu hata wakifanya makosa
Wasi improvise kama kuna shortage ya waalimu,,, watumie dk 120 kwa wiki kufundisha kama muongozo wao unavyowataka
Wasitumie energy kubwa kufundisha,,
Wakae muda standard wa serikali kazini from saa 2-9
Wasichukue nafasi ya mzazi au mlezi,,(mind their own busines)
Wafundishe kwa pace ya syllabus zao
Wagome kufundisha kwenye mazingira hayo mabovu ya kazi waliyonayo
Wafanye hvo kwa miaka 3 mfululizo Nione nn kitatokea[emoji848][emoji848]
Hapo asilimia mia wataheshimika, shida yao wamejigeuza watumwa sijui wamefungwa na nguvu za giza, yani unakuta mwisho wa vipindi ni saa nane mchana yeye anaforce mje jioni hata saa kumi ili awafundishe zaidi ya hapo anafanya tofauti na maagizo ya wizara, ndio maana ndalichako alikemeaga hili alisema walim likizo acheni wanafunzi waende nyumbani maana mnafundisha non stop shida nini?, bado ummy mwalimu alikemea hili ila wao kila siku na chaki mkononi. Nadhani hawana kazi za ziada ndio maana wanaona bora wafundishe hata Bure tu kwasababu hawana overtime hawa watu.Natamani siku moja waalimu wasiwe wanawafuatilia watoto,, yaani wawaache tu hata wakifanya makosa
Wasi improvise kama kuna shortage ya waalimu,,, watumie dk 120 kwa wiki kufundisha kama muongozo wao unavyowataka
Wasitumie energy kubwa kufundisha,,
Wakae muda standard wa serikali kazini from saa 2-9
Wasichukue nafasi ya mzazi au mlezi,,(mind their own busines)
Wafundishe kwa pace ya syllabus zao
Wagome kufundisha kwenye mazingira hayo mabovu ya kazi waliyonayo
Wafanye hvo kwa miaka 3 mfululizo Nione nn kitatokea[emoji848][emoji848]
umeongelea “asa hivi”So hv pale duce au mkwawa wale wanaosoma walipata dv 4,, form 4[emoji23][emoji23][emoji23]
Wafanye hvo bhana maana wanaonekana ni utopolo tu,, [emoji1787][emoji1787][emoji1787] au unasemaje mpwayungu villageWakifanya hivyo, wajinga wanaowaponda walimu leo ndio hao hao watakua mstari wa mbele kulalamika sababu watagundua watoto wao ni mapopoma kupitiliza.
Mtazamo tu, walisoma sana wana kipya? Isije ikawa tunawashambulia tu walimu wa watu bila sababu.Hehehehehe anamaanisha steriochemistry waliyosoma ni ya kawaida[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata hao degree unakuta ni wale wa kuunga Unga katoka diploma, hata alieingia direct from form six ni wale wenye D mbili tu hukuti division oneSo hv pale duce au mkwawa wale wanaosoma walipata dv 4,, form 4[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji848][emoji848] au sioHapo asilimia mia wataheshimika, shida yao wamejigeuza watumwa sijui wamefungwa na nguvu za giza, yani unakuta mwisho wa vipindi ni saa nane mchana yeye anaforce mje jioni hata saa kumi ili awafundishe zaidi ya hapo anafanya tofauti na maagizo ya wizara, ndio maana ndalichako alikemeaga hili alisema walim likizo acheni wanafunzi waende nyumbani maana mnafundisha non stop shida nini?, bado ummy mwalimu alikemea hili ila wao kila siku na chaki mkononi. Nadhani hawana kazi za ziada ndio maana wanaona bora wafundishe hata Bure tu kwasababu hawana overtime hawa watu.
🤣🤣Ukiona mwalimu kashika chupa ya maji ujue katoka kwenye harusi au semina,kwa mshahara upi anunue maji.
Kabisaaa kwanza hawana jeuri yakugoma maana wanaharakati wote huwa ni smartWafanye hvo bhana maana wanaonekana ni utopolo tu,, [emoji1787][emoji1787][emoji1787] au unasemaje mpwayungu village
[emoji23][emoji23][emoji23] Ahya bhanaumeongelea “asa hivi”
tunaangalia chanzo na chanzo cha tatizo sio linapokupata tunaangalia nyuma na nyuma mambo yalikua hivo kubali kataa
Yeah sureumeongelea “asa hivi”
tunaangalia chanzo na chanzo cha tatizo sio linapokupata tunaangalia nyuma na nyuma mambo yalikua hivo kubali kataa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Au sio??Hata hao degree unakuta ni wale wa kuunga Unga katoka diploma, hata alieingia direct from form six ni wale wenye D mbili tu hukuti division one
nawapenda walimu wote[emoji23][emoji23][emoji23] Ahya bhana
Sasa hao wa dv 1,, ndo wamejaa mno huko kwa waalimu,,nawapenda walimu wote
GOD awabless walimu [emoji8][emoji8]