Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #261
Mtabaki hivyo hivyoWeka salary slip ya mshahara wako hapa,usiwe na ushabiki wa kijinga kumbe unaishi kwenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtabaki hivyo hivyoWeka salary slip ya mshahara wako hapa,usiwe na ushabiki wa kijinga kumbe unaishi kwenu
hivi unajua athari za ujinga wewe.Hilo lipo wazi, hakuna sekta isiyo kuwa na mchango inamana walimu ni potential sana kuliko physicians
Nyie watoto mkishanunua smartphone ndio mnaanza kutudharau sisi tuliowafundisha mkawa wajanja.Wakati mnaanza form one hamjui definition yoyote.Vichwa vikishajaa mnajiona babu kubwa.Mtabaki hivyo hivyo
Tulia wewe kiande..huna adabu unatukana walimu...na kwenye kila nyuzi zako una washambulia...hata kama wanamaisha magumu hiyo ni kutokana na mazingira na sera za serikali kuhusu maslahi ya walimu.We ni mshamba wa grade A sio kila uzi unatuhusu mengine tunawasemea marafiki zetu wasiokuwa jamiiforum. Nadhani waliosoma really story yangu ya safari ya lindi watakuambia vyeti nilivyo weka nimesoma program ipi.
Kumjua mtu aliyechanganyikiwa mpaka uambiwe??😁😁😁 Kama kachanganyikiwa unaniambia ili iweje??... Hii nchi tuna safari ndefu sanaNani kadharau mtu, ivi nikimuona mtu kachanganyikiwa, halafu nikaja kuwaambia flani amechanganyikiwa je hizo ni dharau au ni ukweli?
Sasa mbona tozo kibao na kodi kila sehemu, hizo pesa serikali inapeleka wapi??Ebu pita humu, halafu angalia ulichoandika kuhusu watumishi zaidi ya 500k kwenye hii nchi. [emoji4]View attachment 2272392
Hapana wala sipo kwenye siasa nasitarajii, mm sio mwalimu mkuuHii thread ina chuki ndani yake, ama ni mtindo wa siasa maarufu kama Scapegoating method.
Una kitu kina kusumbua kwenye utawala, umeona kabisa kama Walimu ni kundi kubwa na lenye ushawishi, ukili Provoke, yaani kulijaza chuki, litageuka dhidi ya Mamlaka, automatically watakuwa mtaji wako, watashambulia Mamlaka, wakimaliza watakuuliza "Bwana mkubwa, problem Solved, tunakusikiliza, tufanyaje?" Mpaka hapo tayari ni "Acolytes" wako, you won.
Huenda chuki hii ina viashiria vya wewe pia kuwa Mwalimu na unataka mageuzi, ama kada mtiifu wa chama cha Siasa mlengo wa kushoto.
Bro, nchi ndio kwanza ina miaka 60+, Taxbase ndio kwanza 3.9 Million payers, halafu population ni 62+million, [emoji3][emoji3] hivi huoni kama kuna tatizo?
Sisi tunawashauri hatuwadharauNyie watoto mkishanunua smartphone ndio mnaanza kutudharau sisi tuliowafundisha mkawa wajanja.Wakati mnaanza form one hamjui definition yoyote.Vichwa vikishajaa mnajiona babu kubwa.
Good question!! Hizo tozo na kodi, ndio zimempa yule mama jeuri ya kusema ile kauli kule Zanzibar, kuondoa ada ya elimu ya Sekondari n.k.Sasa mbona tozo kibao na kodi kila sehemu, hizo pesa serikali inapeleka wapi??
Mimi nimewashauri, wakiona ushauri hauwafai Sawa ila wacha waendelee kukiona cha mtema kuni ili wa jifunze. Watakuja nikumbukaModerator, muokoeni huyu kijana kwa kuufunga tu huu uzi. Maana amechokoza mzinga wa nyuki (Walimu)! Sasa wanamshambulia kutoka kila upande. Tena kwa hoja zilizoshiba kweli kweli, huku yeye akibakia tu kubwabwaja!
Hana mtu wa kumtia moyo! Hakika amebakia peke yake! Na kwa haraka haraka, naona pumzi yake inaelekea kukata. Msaidieni tafadhali.
Basi ni Chuki tu kaka.Hapana wala sipo kwenye siasa nasitarajii, mm sio mwalimu mkuu
Yeah sure mkuu, una akili sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walimu wana mchango mkubwa kwa taifa..ila hali ilibadilika baada ya vilaza nao kuanza kuwa walimu..imenifanya niione taaluma ya ualimu kwa Tz kuwa ni taaluma ya hovyo yani taaluma ya vilaza watupu.
Wito kwa wazazi kama umebarikiwa kipato usipeleke mtoto wako shule za umma anaenda kukutana na vilaza watupu wamuambukize ukilaza.
Mpeleke private ambako walimu wanafanyiwa usaili kupata vipanga.
#MaendeleoHayanaChama