Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Walimu ndio waamuzi wa mustakabari wa hii nchi.

Mada yako haijakaa sawa.

Ni walimu wa daraja gani ndio wanadharauliwa ?

Wahadhiri wa vyuo vikuu nao wanadharauliwa pia ?

Maana nao ni Walimu pia.
Nimesema mwalimu sio mhadhiri.
 
Hili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu. Hata muonekano wao umekuwa ni too primitive huku wakijidifence eti ni dressing code ya mwalimu lakini nguo zao huwa ni zilezile Shati kubwa ndefu na suruali iliyopwalaruka. Hata wakiwa wanatembea wamejawa na msongo wa mawazo wananuka madeni kila kona utakuta wanadaiwa kila duka mala kakopa dagaa, kakopa sukari, kakopa Unga, kakopa Mchele, mafuta na kila aina ya takataka dhamana yake ni kazi aliyonayo kwahiyo mda wote anaangalia tarehe ya mshahara ikifika tu ndowanakuwa wa kwanza kujazana benki yani siku hiyo panakuwa hapatoshi ni kero tupu, siku za mshahara almost zipo sawa kwa kila mtumishi wa umma ila walimu ikifika net day of salary yupo benki nadhani ni kutokana na madeni aliyonayo pamoja na ukata wa nyumbani maana hawa watu wanalisha Familia kubwa, ya kwake na ndugu zake.

Hii tabia imekuwa ikinifanya nakwazika nakuwaonea huruma pia. Fedheha nyingine nikuwa walimu wengi wanaenda wenye hakili ndogo au waliofeli hili hata Samia alilisema zanzibar, hali hii imekuwa ikipelekea ongezeko kubwa la walimu mitaani wasionaajira bahati mbaya hawana skills zakujiajiri kutokana na low IQ waliyonayo kwahiyo matazamio yao ni kusaka huruma za watawala ili wawaajiri.

Mifano iko wazi, hizi ajira za juzi zilizotangazwa na tamisemi za afya na walimu, idadi kubwa ya walioomba ni walimu, waliomba zaidi ya laki moja wakigombania nafasi elfu tisa lakini afya hawakuzidi elfu thelasini kwa nafasi elfu saba. Hapo unaweza ukaona urahisi una gharama zake, ualimu ni ajira za watu wenye level ndogo ya uelewa darasani lakini udaktari sio program ya kitoto hiyo wanaoenda ni PCB smart hakuna matapitapi ya HKL wala wenye four za form six.

Njaa za walimu zimezidi mipaka. Kwanza hawana subira, angalia tu hizi ajira walizotoa tamisemi, walimu wanasumbua hadi aibu naona mimi, ukiingia kwenye mitandao ya kijamii wanatia huruma hadi kinyaa. Utasikia toeni pdf, mda wote utasikia toeni majina hawajui wizara Ina kazi nyingi za kufanya halafu majina yakitoka siku hiyo hiyo kero inaanza wa naanza kuuliza ajira za walimu mnatoa lini.

Mimi nadhani hii sekta ya walimu kama wizara mnaidekeza sana ndio mana mnawageuza kama cheap labor kwenye kazi za kitaifa kama sensa na uchaguzi mkuu maana mnajua wanalipika kwa pesa ya mrenda. Mbona hamuwachukui madaktari na watu wa TRA au TPDC tuone kama watakubali viajira vya sensa. Sasa mtazamo wangu walimu waanze kwenda wenye ufaulu mzuri kama kada zingine, hii itasaidia kupunguza idadi kubwa ya walimu wenye njaa njaa wanalia saaana,

Walimu waanze kupigwa interview kama kada zingine za utumishi ili kubaini vilaza na smart. Hii hali itapunguza mlundikano wa hawa watu kwenye competition za ajira. Wapigwe oral na written interview ili akili ziwakae sawa. Mbona tuliosoma kada zingine tunakaa mitaani miaka zaidi ya minne nahatusikii ajira zimetangazwa na hata zikitoka hatuanzi kero za kudai majina kwa haraka kama tunakimbizwa. Walimu hawana uvumilivu.

Sina Nia mbaya ila haya mawazo niliyotoa kama yatafanyiwa kazi basi walimu wataanza kuheshimika kama wafanyakazi wengine wa serikalini. View attachment 2271988
Ni Wa serkalin tu baadhi au wote.. tu??
 
Jamij forum usipoijua vizuri unaweza pata stress sana.

Anayepondea walimu, na yeye ni mwl tena diploma.

Hiyo cheap popularity unayotafuta humu itakusaidia nini mkuu?

Kwenye ile thread ya chanagamoto za maombi ya ajira tamisemi mlikuwa mmejaa mkigombea hizo ajira za ualimu unazodharau hapa.

Tujaribu kuwa halisia hata kama tunatumia fake names.
 
Sio kwamba wana IQ ndogo ila mshahara mdogo unawafanya waonekane vile. Nawashauri tu waanzishe vimradi vidogo ili wasitegemee mshahara. Nawaheshimu kwa kuwanoa vijana wetu, wizara iwatazane vizuri katika mshahara na marupurupu. Big up waalimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wako ni mzuri japo sidhani kama wataupokea kwa fijo na nderemo.
 
Jamij forum usipoijua vizuri unaweza pata stress sana.

Anayepondea walimu, na yeye ni mwl tena diploma.

Hiyo cheap popularity unayotafuta humu itakusaidia nini mkuu?

Kwenye ile thread ya chanagamoto za maombi ya ajira tamisemi mlikuwa mmejaa mkigombea hizo ajira za ualimu unazodharau hapa.

Tujaribu kuwa halisia hata kama tunatumia fake names.
Kumbe huyu mwl wa Dip ndo anatusumbua humu,yani ningejua hata nisingejibizana nae.Walimu wa Diploma wanafundishwa maadili sana,huyu itakua mla unga huyu
 
Nilikua sijui Kama na ww ni mwalimu.
Ndio maana akili zimekaa upande
Kwa hiyo hata akina Nyerere, Magufuli, Majaliwa, Tulia, Jenister, na wengineo wengi walio/wanao waongoza pale Lumumba! Akili zao zimekaa upande!

Dogo heshimu walimu wako. Maana hao siku zote husimama kwa niaba ya wazazi wako. Dharau na kejeli, hazitawapeleka kukote.
 
Hili sio uongo lipo wazi kabisa moja ya watumishi wa serikali wanaodharaulika kwenye jamii ni hili kundi la walimu. Hata muonekano wao umekuwa ni too primitive huku wakijidifence eti ni dressing code ya mwalimu lakini nguo zao huwa ni zilezile Shati kubwa ndefu na suruali iliyopwalaruka. Hata wakiwa wanatembea wamejawa na msongo wa mawazo wananuka madeni kila kona utakuta wanadaiwa kila duka mala kakopa dagaa, kakopa sukari, kakopa Unga, kakopa Mchele, mafuta na kila aina ya takataka dhamana yake ni kazi aliyonayo kwahiyo mda wote anaangalia tarehe ya mshahara ikifika tu ndowanakuwa wa kwanza kujazana benki yani siku hiyo panakuwa hapatoshi ni kero tupu, siku za mshahara almost zipo sawa kwa kila mtumishi wa umma ila walimu ikifika net day of salary yupo benki nadhani ni kutokana na madeni aliyonayo pamoja na ukata wa nyumbani maana hawa watu wanalisha Familia kubwa, ya kwake na ndugu zake.

Hii tabia imekuwa ikinifanya nakwazika nakuwaonea huruma pia. Fedheha nyingine nikuwa walimu wengi wanaenda wenye hakili ndogo au waliofeli hili hata Samia alilisema zanzibar, hali hii imekuwa ikipelekea ongezeko kubwa la walimu mitaani wasionaajira bahati mbaya hawana skills zakujiajiri kutokana na low IQ waliyonayo kwahiyo matazamio yao ni kusaka huruma za watawala ili wawaajiri.

Mifano iko wazi, hizi ajira za juzi zilizotangazwa na tamisemi za afya na walimu, idadi kubwa ya walioomba ni walimu, waliomba zaidi ya laki moja wakigombania nafasi elfu tisa lakini afya hawakuzidi elfu thelasini kwa nafasi elfu saba. Hapo unaweza ukaona urahisi una gharama zake, ualimu ni ajira za watu wenye level ndogo ya uelewa darasani lakini udaktari sio program ya kitoto hiyo wanaoenda ni PCB smart hakuna matapitapi ya HKL wala wenye four za form six.

Njaa za walimu zimezidi mipaka. Kwanza hawana subira, angalia tu hizi ajira walizotoa tamisemi, walimu wanasumbua hadi aibu naona mimi, ukiingia kwenye mitandao ya kijamii wanatia huruma hadi kinyaa. Utasikia toeni pdf, mda wote utasikia toeni majina hawajui wizara Ina kazi nyingi za kufanya halafu majina yakitoka siku hiyo hiyo kero inaanza wa naanza kuuliza ajira za walimu mnatoa lini.

Mimi nadhani hii sekta ya walimu kama wizara mnaidekeza sana ndio mana mnawageuza kama cheap labor kwenye kazi za kitaifa kama sensa na uchaguzi mkuu maana mnajua wanalipika kwa pesa ya mrenda. Mbona hamuwachukui madaktari na watu wa TRA au TPDC tuone kama watakubali viajira vya sensa. Sasa mtazamo wangu walimu waanze kwenda wenye ufaulu mzuri kama kada zingine, hii itasaidia kupunguza idadi kubwa ya walimu wenye njaa njaa wanalia saaana,

Walimu waanze kupigwa interview kama kada zingine za utumishi ili kubaini vilaza na smart. Hii hali itapunguza mlundikano wa hawa watu kwenye competition za ajira. Wapigwe oral na written interview ili akili ziwakae sawa. Mbona tuliosoma kada zingine tunakaa mitaani miaka zaidi ya minne nahatusikii ajira zimetangazwa na hata zikitoka hatuanzi kero za kudai majina kwa haraka kama tunakimbizwa. Walimu hawana uvumilivu.

Sina Nia mbaya ila haya mawazo niliyotoa kama yatafanyiwa kazi basi walimu wataanza kuheshimika kama wafanyakazi wengine wa serikalini. View attachment 2271988
😆😆😆@mpwayungu village,pole mkuu,walimla mama yako? Mbona Una hasira nao?
Anyway,kuna baadhi ya mambo umeandika ni ya ukweli,Ila umekuwa too general,kitu kinachoonesha Una chuki na hasira binafsi juu ya walimu,ni hivi, ualimu ni kazi nzuri kama kazi zingine, wanajipati a kipato Chao cha halali japo hakiwatoshi. Walimu ni Kada inayohitajika kwa wingi Sana kulingana na ongezeko la watu ndani ya nchi,maana kwamba watoto ni wengi ,shule zinahitajiika nyingi na bado haitoshi,hii inapelekea walimu kuwa wengi,na wingi wao unasabisha serikali isiweze kuwalipa mishahara mikubwa kutokana na serikali za kiafrika kuwa na umaskini tena wakujitakia.
Sio kweli kwamba walimu wote ni maskini kiasi hicho unachotaka kuaminisha watu,ukweli ni kwamba,watumishi walioko Chini ya TAMISEMi,Wana mishahara midogo,walimu wanazungumziwa Sana kwa sababu ni wengi,na pia sio kweli kwamba walimu wote wanakosa business skills,kuna walimu ni matajiri kutokana na investment hasa mijini,na Wana pesa nzuri tu. Hivyo siyo vizuri kuwasema vibaya kiasi hicho kundi la watu flani as if ni "outcast" katika Jamii,kumbuka wao ndio walikusaidia unajua kusoma na kuandika,na hata Leo,kama Una/utapata watoto,utatikisa mkundu wako kwenda kwa walimu hao ukiwaomba wamsaidie mwanao ajue kusoma na kuandika,kama utaweza,nenda kwenye Kada hiyo uliyopo wamsaidie mwanao/wanao kupata elimu.

Nakuhakikishia,na Mungu ni Shahid,ww Una "kitu/sumu" moyoni uliyojenga juu ya walimu,na hii haitakusaidia zaidi ya ku kuumiza kisaikolojia. Pole Sana!
 
Kuliko nyinyi uvccm! Kwa hiyo hata akina Nyerere, Magufuli, Majaliwa, Tulia, Jenister, na wengineo wengi walio/wanao waongoza pale Lumumba! Akili zao zimekaa upande!

Dogo heshimu walimu wako. Maana hao siku zote husimama kwa niaba ya wazazi wako. Dharau na kejeli, hazitawapeleka kukote.
Viongozi wote uliowataja ni vilaza tu kama wewe
 
Back
Top Bottom