Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Hata mwanaume kumsaliti mkewe au kuoa mke zaidi ya mmoja tu kwa wakristo siyo maadili na ni kwenda kinyume na amri na sheria za Mungu
 
Bwana si mwongo aliposema "usimnyime Mtoto kiboko kwani hakitamuua" na kamwe haneni neno 7bu lina ukweli ndani yake bali neno lake tu ni kweli.

So acha kujificha ktk kichaka cha kutokupigwa viboko ukikosea.
 
Pumbavu mwanaume lazima achekupe
Nan alikuambia mwanaume anaridhika na mwanamke mmoja ??
Acha wivu wa kijinga ww
Kama una taka mwanaume wa pekee yako zaa au chonga wako blalifuu
Tunachepuka ila tunawapenda wake zetu

Shwain
Mwanaume asiyempenda (anayemsaliti au anayemnyanyasa) mkewe hastahili kuheshimiwa na mkewe, period.
 
Mkuu wewe ukifanya kosa nani anakupiga? Ni kwamba wanaume hamfanyi makosa au makosa yenu huwa mnayachukulia ni ya kawaida?
Napigwa na Mzazi wangu au ukoo wangu hata kama nitakuwa na mvi haijalishi na kamwe haizingatii ukubwa ktk malezi nilivyolelewa wakati wowote nikikanyaga katiba ni lazima tu nutachezea bakora.
 
Napigwa na Mzazi wangu au ukoo wangu hata kama nitakuwa na mvi haijalishi na kamwe haizingatii ukubwa ktk malezi nilivyolelewa wakati wowote nikikanyaga katiba ni lazima tu nutachezea bakora.
Acha uongo ni wanaume wangapi walio kwenye ndoa wanaadhibiwa kwa staili hiyo kama uliyosema?
 
Bwana si mwongo aliposema "usimnyime Mtoto kiboko kwani hakitamuua" na kamwe haneni neno 7bu lina ukweli ndani yake bali neno lake tu ni kweli.

So acha kujificha ktk kichaka cha kutokupigwa viboko ukikosea.
Mithali inasema Mtoto usimnyime mapigo
Ukimpiga kwa fimbo hatokufa Bali utakuwa umemnyoosha katika njia njema.

Kipigo hutolewa pale tu mtoto anapokosea na kwenda kinyume

Kumbe Kama yupo katika njia njema Haina haja ya kupewa kipigo.
Mlee mtoto njia ipasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee


Haijasema mwanamke usimnyime mapigo
 
Oohh basi kumbe hata mwanamke naye anatakiwa awe na kiasi katika kumtii mumewe? Na pia upendo unaozungumziwa hapo ni pamoja na mume kutokumsaliti na kutokumnyanyasa mke wake.
Tatizo ulishaumbwa hivyo kutupenda sisi Wanaume, so endelea kujitekenya huku unacheka mwenyewe 7bu utazunguuuka weee hatimaye utarudia pale pale ulipoondokea...[emoji23]
 
Me nikishaona mwanaume ananipa mwanya wa kumpanda kichwani namtema immediately...na huwa nakubip nione ni mwanaume wa namna gani,.kama uko yoriyori natafuta sababu tuu tutemane...lol,.

Kumbe hujaolewa
 
Hatutaki kupigwa pingwa pasipokuwa na hoja za kimantiki
 
Raha ya ndoa/mahusiano me ajue nafasi yake sio kila anachosema ke ndo final ukiona hivi ujue wewe ni wakiume sio mwanaume
 
Hata yeye anaamini Hakuna mkamilifu,
Na ndicho kikubwa anachosisitiza kwamba lazima pande zote mbili zisimame kikamilifu,,sio wanawake pekeyao
Yeye kashaathirika na pepo la "HAKI SAWA" nakati kule walipoyaanzisha yameshawaletea kuvunjika kwa ndoa kila mwaka kwa kuongoza duniani 45%-67% kila mwaka.

Hujiulizi kwanini siku hizi asilimia kubwa ndoa zenye Wanawake waliosoma ndizo zenye changamoto hasa na kuvunjika mara kwa mara [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…